Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika

Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika

umesahau hao wote wana resources nyingi na wana viongozi imara sana, ila sio kwamba wana akili kuzidi wengine. iran wana mafuta na gesi nyingi sana, wangekuwa wakulima wale wangekuwa kama zimbabwe. mbona huiongelei Yemen? North Korea wana madini mengi na uongozi wao ni bora sana. africa au watu weusi tuna mali ila viongozi wetu na katiba zetu ni mbovu kuliko wanadamu wengine wote katika uso wa dunia.
Nyie Tanzania kitu gani ambacho hamna ?
 
Nyie Tanzania kitu gani ambacho hamna ?
uongozi makini, viongozi makini, wengi wanatoka CCM au wasaliti wa vyama vingine, ndani ya ccm kumejaa mabepari na mawezi kibao ambao hawapo kwa ajili ya kujenga nchi, pia katiba yetu sio nzuri. hata tukiwa na resources kibao, kiutoka ni ngumu sana, hao wanatukwamisha.
 
Kiongozi ndio huyo huyo mtu mweusi anaye zungumziwa hapa wote tupo sawa. Viongozi wa CCM hawatoki Mars
 
Watu wanazungumzia viongozi gani sijui!, Hawa viongozi wetu ni zao la jamii yetu hii hii tunayoishi, viongozi waliopo miaka na miaka mfano TZ ni taswira halisi ya jamii nzima iliyopo. Unavyoona upigaji, kutaka kupata easy money, kupenda ngono kuliko kazi, ubinafsi wa kiwango cha juu ndiyo jamii zote za watu weusi duniani zipo hivyo si afrika tu, SA ni zao la watu weupe...hao wapersia siyo watu wa kuridhika hata kidogo Kila muda wanachungulia fursa ukizubaa wamekupiga parefu, mental inferiority inatusumbua pia...Tatizo si la mtu mmoja au kikundi cha watu bali ni tatizo la jumla la jamii yetu...
 
Mtu mweusi ndio baba wa mtu mweupe. Mtu mweupe bila mtu mweusi,dunia angeiona ngumu.Ndio ukaona mtu mweusi, anamsaidia sana mtu mweupe, kwa vile mtu mweusi ndio baba wa mtu mweupe.
Mdio mnavyo jifariji nankijazana ujinga ila elewa wewe mweusi unamuhitaji zaid mweupe kuliko mweupe anavyo kuhitaji wewe na ukitaka kujua hilo jiangalie juu hadi chini hapo ulipo na mazingira yanayo kuzunguka je? Ninani anamtegemea mwenzie

Tukubali tuu kuwa watu weusi tulinyimwa ufahamu na akili tangia kuumbwa kwetu wala tusijifariji kijinga
 
Back
Top Bottom