Kutambulishwa ukweni na kutolewa mahari sio uhakika wa ndoa

Usikimbie haraka hivyo.Anataka akuunganishe na mwanaume mwenye watoto tayari aliyemaliza kuzaa, wewe kazi yako ni kulea tu.
Niolewe wapi I'm feminist na Niko kwenye menopause sasa hivi sasa naolewaje
 
Wewe na mimi chupchupu tufanane, tena mm niliongeza siku tatu lakini ngoma alikataa a bahat nzuri nikawasiliana na shangaz yak ndio alikubari
 
Why mliachana, napenda mila ya kabila letu siku unatoa mahari ndio unavisha pete na ndoa inakuwa mwezi huo huo hamna kuchelewesha
Sababu ni ya kijinga nimeijibu comment namba 29 hapo ila kubwa zaidi ni kutolelwana na mama mkwe
 
Sababu ni ya kijinga nimeijibu comment namba 29 hapo ila kubwa zaidi ni kutolelwana na mama mkwe
Bora mliachana mama wakwe wengi vichomi kila likuepukalo Lina heri
 
Heri uchumba uliovunjika kuliko ndoa ya mateso. Watu wanapigwa chini michango ishachangwa na paroko anaandaa misa, ndio iwe kutambulishwa?
Kuna jamaa alienda kwenye Send-Off kabisa ile siku ya harusi jamaa kazima simu mazima.
 
Tena vibinti hiv vilivyosoma chuo vikapata kazi sijui benki (bank teller) pasua kichwa haswa.
 
Mimi nasubiri hela yangu ya mahari irudishwe na ole wake ajifanye anaolewa na hela yangu haijarudi.Hilo timbwil lake sijui
Dah watu wana changamoto sana siku hizi.
 
Nilichojifunza kuna matatizo ya kujitakia kwa baadhi ya wanaume, tunahitaji maombi... we are playing harder, cheating them alot, promising them lkn kumbe ukweli tunakuwa hatumaanishi moyoni mwetu at last tunawabwaga direct or indirect wanapata maumivu na kuamua kutwendea kwa wajuzi kwa baadhi wanaoamini ivo na hapo ndo matatizo ya kuto settle kwenye new relationship.

Ingia kwenye mahusiano simple, u hit and run, au settled bila ahadi nyingi zisizotekelezeka sawa na haja ya moyo wako

Majawabu ni either one
1. Kwenda kuombewa
2.Kwenda kwa wajuzi zaidi ya wajuzi wao.

Ninaye my relative ambaye kwa mikono yangu nilikabidhi posa kwa familia badala yake jamaa akaingia mitini....
 
Sikufanikiwa kutoa mahari nilikua katika hatua za mwisho kabisa na tarehe iliishapangwa nikatoe mahari siku moja tulikua tunaongea na huyo mchumba wang kwenye simu akanijibu kunya nikakata mawasiliano siku hiyo hiyo na mpango ukahairishwa kimya kimya hakuna niliemwambia kwanini nimeghairi mpaka leo hilo nitakuja kuwaambia wajukuu zangu panapo majaliwa
 
Mashart kama yapi, yasije kujikuta na mie 😁😁😁
Vipi mliwekeana range yaan asizidishe kiasi flani?
 
Kuna binti namfahamu tunasali nae na ni rafiki wa mdogo wangu...alitolewa mahari 3 zikarudishwa (sababu hakutulia)..akaamua kumrudia Mungu mwaka Jana kaolewa na mkarismatiki mwenzie.
Duh kuna wanaume wanamoyo wa kula viporo vilivyochacha kweli kweli haya tumuwache mkarismatiki apashe moto kiporo chake ale.
 
Ni experience ngum sana hii, usiombe ikukute aisee....binafsi, nmetoa mahali yote na nkamvisha pete ya uchumba. Lkn baada ya kupata some very hidden secrets about her nkaacha kila kitu.
Lkn haikua rahisi.[emoji1534]
 
Bora ulikimbia kabisa. Huyo angekupangia kila kitu mkiwa ndani
 
Ni experience ngum sana hii, usiombe ikukute aisee....binafsi, nmetoa mahali yote na nkamvisha pete ya uchumba. Lkn baada ya kupata some very hidden secrets about her nkaacha kila kitu.
Lkn haikua rahisi.[emoji1534]
Mh
 
Mimi Sijui....Ni Mungu tu anipiganie kwakweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…