Kahe huko si kwa wapare huko, nasemea vijiji vya uchagani viko vizuri na hata ukienda kule upareni milimani Kuna nyumba nyingi za block nzuri tu nimefika huko kote, kwa Tanzania sehemu yenye makazi Bora ni Moshi mzeeSijui je kahe IPO mkoa upi labda? Wenyeji wa pale sio wachaga?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
we ni mchaga kweli?Na kwambia hamna Sasa hzo nyumba kijijini kwetu wewe una force tu, acha wivu na wachaga
Sina shida with how the city is planned, swala langu la msingi ni uwepo wa nyumba za tope katika vijiji vya uchagani.Mkuu hamna nyumba mbovu hata za tope zimeshaisha kabisa nyumba nzuri kuliko hizi za Dar bana with well planed streets
Kwa TANZANIA sehemu yenye makazi bora ni Moshi?😂Kahe huko si kwa wapare huko, nasemea vijiji vya uchagani viko vizuri na hata ukienda kule upareni milimani Kuna nyumba nyingi za block nzuri tu nimefika huko kote, kwa Tanzania sehemu yenye makazi Bora ni Moshi mzee
za tope zipoSina shida with how the city is planned, swala langu la msingi ni uwepo wa nyumba za tope katika vijiji vya uchagani.
Wewe umedai katika vijiji vya uchagani hakuna nyumba za tope, kuna nyumba kali kuliko hâta hizi za huku dar.
Ni kijiji gani hicho?
Mkuu nitajie hicho kijiji hapa, ambacho hakina nyumba ya tope.Na kwambia hamna Sasa hzo nyumba kijijini kwetu wewe una force tu, acha wivu na wachaga
Yes mkuuKwa TANZANIA sehemu yenye makazi bora ni Moshi?[emoji23]
Vijiji vingi tu tembea uone usisubiri kuhadisiwaMkuu nitajie hicho kijiji hapa, ambacho hakina nyumba ya tope.
Bora wewe umekuwa mkweli.za tope zipo
nyumba kali pia zipo ndiyo kali zaidi ya dar.
Nakwambia hizo nyumba zimeisha za tope kabisa tena tangu nikiwa mdogo, na Kuna nyumba nzuri za standard nzuri kabisa kuliko nyumba nyingi za humu dar, tena Zina garden nzuri, na tangu utoto I watu walikuwaga na umeme kabla hata ya huu wa REA kuja ambako wengine wanaunganishwa kwa 9000 tu na hawataki.Sina shida with how the city is planned, swala langu la msingi ni uwepo wa nyumba za tope katika vijiji vya uchagani.
Wewe umedai katika vijiji vya uchagani hakuna nyumba za tope, kuna nyumba kali kuliko hâta hizi za huku dar.
Ni kijiji gani hicho?
Kisambo ni nini hicho maana uchaggani kwetu hamna tope kabisa, huko kwenu ka Kuna tope mna laana bado maana hata Utu kishimundu kuko vizuri, kwa watani wetu nyumba za tope karibia ziishe, kabisa wewe si wa uchagani acha ubishi, maana Kilimanjaro nimetembea kote hukowe ni mchaga kweli?
mimi nimchaga na nyumbani Ni Kisambo nyumba za tope zipo vizuri tuu.
Mchaga hawez kubali huo ujinga wa kujionyesha ana magari anakula bata alafu home alikotoka kuna nyumba za tope tena tope kweli kweli la makuti , hata usukumani huwez kuta hzo nyumba , angalau kule kuna tope za tofari ....!! Ni mhimu kukumbuka ulikotoka jamaniWeka picha, usikute umeona huko kahe kama huyu mwemzako
Sure mkuu mtu unakuaje na iphone 13 huku kwenu tope ni aibu iliyotukuka sana, tena mtu maarufu una connection use it to get money, tukumbuke vijijini kwetu Ili kusiwe mapori mapori, Sasa Moshi watu hushindana kimaendeleo kila mtu anajitahidi Sasa na wewe ubaki mwenyewe ni aibu hata Wana ukoo watakuita kikao, na ka umebanwa waweza Jenga hata nyumba nzuri ya tofali ya kuchomwa unaweka bati na kupiga Ile plaster na sakafu chini Ili ku damshiMchaga hawez kubali huo ujinga wa kujionyesha ana magari anakula bata alafu home alikotoka kuna nyumba za tope tena tope kweli kweli la makuti , hata usukumani huwez kuta hzo nyumba , angalau kule kuna tope za tofari ....!! Ni mhimu kukumbuka ulikotoka jamani
Sawa endelea kujisifu uongo.Kisambo ni nini hicho maana uchaggani kwetu hamna tope kabisa, huko kwenu ka Kuna tope mna laana bado maana hata Utu kishimundu kuko vizuri, kwa watani wetu nyumba za tope karibia ziishe, kabisa wewe si wa uchagani acha ubishi, maana Kilimanjaro nimetembea kote huko
Ni mimi ndiye.Mamii ni wewe
Wanagawiana tu usiper star. Mfano demu akigongwa na Diamond akaja kugongwa na T.I.D. akapitiwa na kiba. Halafu akaja kumalizia wengine wengine,huyo tayari wanampandisha cheo cha usuper star. Halafu super star huku hana hela.Hivi huyu Lulu Diva ni superstar wa kitu gani?
Actress, musician au ni mchekeshaji?
Kwa hakika sijui mnijuze