Kama alikopaGari ananunua vipi?
Acha kutetea kwanza unajua kisa cha mama ake kuumwa vile?
Ila tuseme tu ukweli. Kujenga nyumba siyo rahisi kama tunavyofikiria. Hasa kwa mtoto wa kike. Ni rahisi vijana wa kike kuwa na ndinga, kupanga hata apartments masaki, kuvaa wigi la 10m/-, gauni la laki tano, pochi, dhahabu, hereni, kula bata kila siku na kutamba anazo pesa kuliko kujenga, iwe mjini au kijijini. Tunao madada tumeshuhudia. Ukiniuliza kwanini sina jibu. Labda watueleze wao wenyewe!
Acha kudanganya umati nimefika uchagani hawana nyumba za tope na kama zipo mtu anajitahidi anajenga nyumba nzuri pembeni kidogo kidogo mpka inaisha ndio maana wana furaha kirudi makwao mwezi wa 12 wanaenda cheki maendeleo na sio watu wa kujitapa kuonyesha malinzao. Tukirudi kwa wasanii wetu tatizo wakiwa mjini hawakumbuki nyumbani na kujitapa kwingi kufanya mambo ya ufahari na kujionyesha kuwa wanacho kumbe hata mama zao hawalali kwa amani nyumba muda wowote inaanguka.sis watanzania tunaakil ndogo sana kwaio unahis waltoka kijijin na kuja kupanga mjin? kama taratbu za kwao n kuzka maeneo ya nyumban kwao ndio wajengee ukoo mzma nenda uchagan uone wachaga wananyumba za kawaida lakn uko mjin wana ma hekalu
Usije ukalinganisha nyumba za mbao za wazungu na hiko kijumba cha tope hilo ni kama zizi hatukatai bau zetu na wazazi wetu wengi wetu tulizaliwa huko ila dunia ya sasa kuendelea kuishi humo ni umaskini na kukosa kuthamini mambo ya msingi.Ila na wewe mleta uzi kwanini unafuatilia maisha yasiyokuwa yako? Wazungu hawajengi nyumba wengi wao wanaishi kwenye nyumba za mbao na wamepangishwa napenda maisha halisi ya kijijini
Huyo mteme haingii hapo ale bomayeeeeeee nye nye nyeeeVipi kuhusu Le Mutuz?
Kwa Mazingira ya lulu diva hana namna alitakiwa apatengeneze nyumbani ila kama mtu ana kaka zake anajua hapo sio kwake. Nakereka sana ninapoona mtu haweki juhudi kulinda heshima ya pale alipotoka.Ila tuseme tu ukweli. Kujenga nyumba siyo rahisi kama tunavyofikiria. Hasa kwa mtoto wa kike. Ni rahisi vijana wa kike kuwa na ndinga, kupanga hata apartments masaki, kuvaa wigi la 10m/-, gauni la laki tano, pochi, dhahabu, hereni, kula bata kila siku na kutamba anazo pesa kuliko kujenga, iwe mjini au kijijini. Tunao madada tumeshuhudia. Ukiniuliza kwanini sina jibu. Labda watueleze wao wenyewe!
Mahari m500 na yeye kakulia kwenye banda la mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23] si bora nikanunue nguruwe wa kisasa anakaa banda zuri kuliko hapo kwako au alitaka amalize umaskini kwenye mahari[emoji23][emoji23][emoji23]Labda alisubiria hio mahari ya milioni 500 ndio ajenge
Wazazi wengi wamejengewa na watoto wao kwann asiige mfano.Ila pia hili tatizo linaweza sababishwa na sisi wanaume unakuta mume alishasepa muda mrefu akamuachia mama wa watu majukumubna maisha magumu atafanyaje sasa lazima aishi humo ilimradi sikubziende ila baba angesimama kwa nafasi yake wasingekuepo humo.
Nimejaribu kuwaza tofauti kidogo hizi situation zipo pia
Ina umiza sana asee mazingira wanayopitia wazazi wetu kutulea alafu mtu ukikua hukumbuki kumlea mzazi dah🥺Wazazi wengi wamejengewa na watoto wao kwann asiige mfano.
Milioni 2 tu kijijini unajenga vyumba viwili sebule Jiko na choo.
AseeehhhhAcha kudanganya umati nimefika uchagani hawana nyumba za tope na kama zipo mtu anajitahidi anajenga nyumba nzuri pembeni kidogo kidogo mpka inaisha ndio maana wana furaha kirudi makwao mwezi wa 12 wanaenda cheki maendeleo na sio watu wa kujitapa kuonyesha malinzao. Tukirudi kwa wasanii wetu tatizo wakiwa mjini hawakumbuki nyumbani na kujitapa kwingi kufanya mambo ya ufahari na kujionyesha kuwa wanacho kumbe hata mama zao hawalali kwa amani nyumba muda wowote inaanguka.
Mfano kuna yule mchekeshaji naitwa mkali wenu ana gari mbili moja brevis anadai ni gari yake ya kwanza akahojiwa kwanini mama anaishi maisha ya tabu na ww una gari mbili huwezi uza moja ukamsaidia mama hata mtaji jamaa anajing'ata tu maneno ohh hii gari yangu y kwanza sjui nyoko nyoko alinikera sana mjinga yule. Inamaan anaona ufahari kuwa na gari mbili ila anakoishi mama yake dah akustahili tena kama na mtoto amayetamba n gari mbili mjini mama wa watu mpka analia.
[emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji4][emoji3577]Wanaume wangapi mmetelekeza wazazi wenu vijijini? Huyo lulu diva angekua wa kiume saizi mama yake angeshakufa miaka nane nyuma. Maana wa kumfuta na kumsafisha asingekuwepo. Amemuuguza peke yake kwa miaka zaidi ya nane. Nani aliwahi kumchangia humu?
Keyboard warriors wako busy kuongea kwakuwa hatuwajui ID zenu. Tukisema tuwachimbe tutakuta kwenu ni worse ila mkikaa wavuvi camp mnajiita Big Boys
Wanaume wangapi mmetelekeza wazazi wenu vijijini? Huyo lulu diva angekua wa kiume saizi mama yake angeshakufa miaka nane nyuma. Maana wa kumfuta na kumsafisha asingekuwepo. Amemuuguza peke yake kwa miaka zaidi ya nane. Nani aliwahi kumchangia humu?
Keyboard warriors wako busy kuongea kwakuwa hatuwajui ID zenu. Tukisema tuwachimbe tutakuta kwenu ni worse ila mkikaa wavuvi camp mnajiita Big Boys
Lulu diva unajua alivyohangaika na mama yake,? Unajua kuwa alikua anaishi nae kwake bila msaada wa mtu? Hakumuacha kijijini kama wengi wanavyofanya. Before we judge tujitathmini na sisi weyewe.Ukiona mtu wa mkoani hapendi sana kurudi kwao likizo au mwisho wa mwaka ujue kwao ni pabovu na ukiona mtu mjini anaishi sana kwa kuigiza jua anatatizo sana yaani showoff nyingi za mjini hufanywa na watu ambao hawajafanikiwa huwezi kumkuta mwenye pesa ya kweli eti anapiga picha muone simu yake ya iphone haipo hiyo, hayo yaweke akilini
Lulu diva unajua alivyohangaika na mama yake,? Unajua kuwa alikua anaishi nae kwake bila msaada wa mtu? Hakumuacha kijijini kama wengi wanavyofanya. Before we judge tujitathmini na sisi weyewe.