Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

Sasa mkuu akishakuwa mtumishi na ana check no kunahaja tena ya kutuma barua ya maombi ya kazi, wao si wanajua taratibu za kumpandisha Mtu cheo mkuu mbona unatuchanganyia habar?
 
📌
 
Kwel mkuu huu ni uzembe na ili linadhirishia baadhi ya viongozi ni wazembe na malofa, wanania ovu ya kumchafua Raisi. Mama Raisi wetu amepambana sana katika kutoa Ajira kwa vijana hakuna Mtu asiyeshuhudia ili Ila wapo wapuuzi wasipenda uwazi na ukwel wanapindisha izi baraka za Rais wetu, mchakato wa Ajira ni Bora urudi PSRS uko ndipo penye uwazi na ukwel Ajira zinatoka na watu wanapata kihalali
 
Raisi wetu mama Samia naomba uingilie Kati ili suala
JENGA nchi inayotawaliwa na mifumo, na taasisi, na taratibu za kitawala na kisheria.

Kwa nini unarukia kwa Samia akuhurumie ??? What if she doesn't give a fvck ??? Samia kasema juzi Mtwara hana muda wa vidukuduku vyenu, mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa! Matatizo yako na mapambano yako na hali yako peleka kwa Mbunge! Ndio mentality ya Rais!

Una hakika gani kama Samia hana mentality hizi hizi za wakubwa wa NSSF ???

Samia ndio alisema hadharani mashirika yaajiri yenyewe, hata hajui na hajali kwa nini ajira zilirudishwa UTUMISHI. Kama alivyosema Dr. Nshala, Rais hajui Uchifu ulifutwa lini na kwa nini, yeye kaurudisha tu Uchifu ghafla bila maelezo, hajui historia ya nchi, haelewi, hajali!

Rais hakueleza serikali yake ita mitigate vipi athari za mashirika kuajiri yenyewe, she don't give a rats ass!!! Get a clue! Nenda mahakamani!
 
Mbona hamji kubweka huku jamaa wa makumbusho wakipeana mapande kutoka familia tajiri na vijana wa lumumba..? Naona hizi za nssf sindano imegonga mfupa umekuja kulilia huku
 
Sina Iman na hao wabunge ata hao mawaziri pia, kimbilio letu ni yeye coz naiman nae
 
Na Wewe Si ukaajiriwe huko unapo jitolea?
 
🔧🔧🔧
 
mbona hiki kiburi hamkua nacho kipindi cha JPM...
 
Hivi kwa akili zako hata wangetangaza nafasi kwa uwazi unadhani ungepata...?
Hajizungumzii yeye kama yeye!! tunazungumzia mchakato wa haki kkwa wote, siyo lazima apate yeye, lakini atakayepata atakuwa amepata kwa haki!! Mbona PSRS watu wamnapata nafasi kwenye taasisi mbalimbali bila connection yoyote? Hicho ndicho tunachokipigania!!
 
actually hata, hao waliojitolea humo humo NSSF hizo nafasi 392 haziwatoshi,

so, relax tu vijana hao wapate uhakika wa kula na kutuliza akili pia...
 
Sasa na kwa kupitia ili hao hao ndo wanaomungusha kama kwa sisi wananchi Tu wametusaliti kwa yeye je, na yeye ndo anamamlaka ya kulimaliza ili, Raisi wetu naomba uliingilie ili Kati hawa hawa watu hawana Nia nzuri na wewe.
 
Unauhakika gani huko psrs hakuna urasimu..? Saivi ni kuangalia unamjua nani kama ndugu zako hawapo kwenye system ndo hivyo tena poleee
 
Unauhakika gani huko psrs hakuna urasimu..? Saivi ni kuangalia unamjua nani kama ndugu zako hawapo kwenye system ndo hivyo tena poleee
Kwa asilimia 99.9% PSRS hakuna urasimu wadau mbalimbali wamelamba asali na wanatoa ushuhuda umu hawakua na connection yeyote na wapo kweny mapipa ya asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…