Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Habari zenu, kuna kijana kafariki kwa sababu ya madonda ya tumbo hapa mtaani, inasemekana ametapika sana damu kabla ya mauti kumkuta na sio mara ya kwanza, hivi madonda hayahaya yanaweza kumpelekea mtu kutapika damu nusu ndoo? Kijana wa watu kafika hospitali wakajua amepata ajali! Nnajiuliza sana maswali..
Je madonda ya tumbo yanaweza kuleta hali ya kutapika damu nyingi mpaka kupelekea kupoteza maisha?
Pia, naombeni msaada kuhusu Ganzi, mtu kupata ganzi kunasababisha na nini? imenishika maungio ya mguu gotini mpaka kwenye unyayo japo nyayo ndio sana tangu usiku wa kuamkia leo mpaka sasa hivi.. sijaanguka wala sina magonjwa yoyote!
Msaada please..