Kutapika damu kwa mgonjwa madonda ya tumbo inaweza kuwa hatari kiasi gani?

Kutapika damu kwa mgonjwa madonda ya tumbo inaweza kuwa hatari kiasi gani?

Ww sio mnene shem.

3rd floor ina stress ming sana shem. Mm niko mid 3rd floor. A lot in my table.
Sio kabisa, sawa shem

3rd floor ni shughuli pevu! Ni unachoka mwili na roho🥵 sitamani kufika uko sjui mid aisee!😤
 
Sio kabisa, sawa shem imepita😫

3rd floor ni shughuli pevu! Ni unachoka mwili na roho🥵 sitamani kufika uko sjui mid aisee!😤
Ni kujiwekea malengo Shem.
Na kujitahidi kuyatimiza.

2nd floor majukumu sio meng.
3rd floor utaanza kutegemewa na familia. Wazaz nao nguvu zimepungua. Kwahiyo watakutegemea...

Wategemez weng wanakuangalia ili uwasaidie.
Niko kwenye hiyo stage. Kwahiyo stress ming sana.

Ila kwa waliojipata sio tabu sana.
 
Uko sahihi shem! Yaani ni stress juu ya stress! Naona zinakujaga tu hata kama hutegemewi! Mimi niko mwenyew ila nimechoka kujihudumia🤓 yaani maisha yakikaza, unachoka ukiangalia una hisa kama 3 mikopo inakuangalia! Lazima mwili upate ganzi😒
 
Full blood picture inapatikana kwenye vituo vidogo pia? Na gharama zake? Sijawahi kuwa na damu ndogo hii ni ajabu! Nilinenepa sana kwaio najaribu kupungua na nakula kawaida tu. Sio mlaji in such!
Nenda hospitali na fuata ushauri wangu, acha maswali mengi.
 
Back
Top Bottom