Kutapika damu kwa mgonjwa madonda ya tumbo inaweza kuwa hatari kiasi gani?

Kutapika damu kwa mgonjwa madonda ya tumbo inaweza kuwa hatari kiasi gani?

Seran wala usiogope bro.

Hiyo Ganzi ni nerves kukosa mawasiliano na damu haifiki vizur miguuni.

Sasa imesababishwa na nn?.
Well wote tumeongea likelihood kwamba huenda mambo kadhaa kama nilivyotaja mm.

Ila kwasababu unatakiwa Utibiwe. Ni vyema Ukaenda Hosp wajue chanzo na uanze Tiba.

Kama ni Vitamins zako zipo chini.
Dawa zipo.
Kama ni Kusukali dawa zipo pia. Kwahiyo sio Kitu cha kuogopa.
Mi sio bro😂

Na asante ushauri wako taufanyia kazi😊
 
Uko sahihi aisee! Katika vitu sipendi ni kwenda hospitali jmn huwa siamini sana!
Nenda hospitali kubwa za serikali kama Mwananyamala/Muhimbili au kama unajiweza kipesa nenda Private zile kama Tmj/Agakhan utapata majibu sahihi,zile zahanati za mtaani hazina uhakika ni kama unaanzia tu kwa kujaribu na ussishie vipimo sehemu moja fanya vipimo hata sehemu 3 kisha unalinganisha majibu kama yanafanana.
Kama huyo mtu aliyefariki kwa kuapika damu inaonekana hakwenda hospitali kwa wakati ikapelekea ugonjwa kuongezeka.
Tatizo huwa linakuwa rahisi kutibika unapoliwahi mapema mwanzoni ukichelewa linaongezeka
 
Duh! Poleni sana hivyo vidonda vinatesa sana na huwa haviponagi kabisa
Vidonda vinapona .

Miili ya Binadamu imetofautiana.
Wenye vidonda na ambao wanasema haviponi ni kwasababu huwa wanatumia vyakula vinavyoleta acid nying kwenye tumbo lao wakat walitakiwa wasivitumie.

Ngoja nikupe mfano kutoka kwangu.
niligundua nina Vidonda vya tumbo miaka 12 iliyopita.
Kuna kipind vilichachamaa sana.
Nikanywa Omeprazole na vinatulia alaf baada ya Muda mfup vikarudi.
Nikanywa dozi nzito ya Heligo Kit mwez mzima. Vikatulia na baada ya miaka 2 vikarud..

Nikarud Hosp wakaniandikia list ya vyakula vya kukwepa (mashart) na nikanywa tena Heligo Kit.

Nina miaka 4 sasa sijavisikia. Ila na mashart nafuata.
Havijarud kwasababu nimegundua mwil wangu unazalisha acid nying kwahiyo nakwepa kula vitu vyenye acid.

Sili juice yoyote yenye passion, ukwaju au Nanasi, sili ndizi mbivu,
Sili pilipili nying.
Sinywi Spirit yoyote.
Sili Pilau yenye viungo.
Sili maharage mekundu.

Natakiwa nisile chips. Ila mmmh hili nimeshindwa. Huwa nakula mara moja moja.

Mm nikila Pilau yenye Viungo tumbo linajaa gesi. Linaunguruma na kubeua . Na baada ya siku 1 nasikia kiungulia na kucheua acid.
So kuna kiungo kwenye Pilau hakinikubali
 
Habari zenu, kuna kijana kafariki kwa sababu ya madonda ya tumbo hapa mtaani, inasemekana ametapika sana damu kabla ya mauti kumkuta na sio mara ya kwanza, hivi madonda hayahaya yanaweza kumpelekea mtu kutapika damu nusu ndoo? Kijana wa watu kafika hospitali wakajua amepata ajali! Nnajiuliza sana maswali..

Je madonda ya tumbo yanaweza kuleta hali ya kutapika damu nyingi mpaka kupelekea kupoteza maisha?

Pia,
naombeni msaada kuhusu Ganzi, mtu kupata ganzi kunasababisha na nini? imenishika maungio ya mguu gotini mpaka kwenye unyayo japo nyayo ndio sana tangu usiku wa kuamkia leo mpaka sasa hivi.. sijaanguka wala sina magonjwa yoyote!

Msaada please..
Inawezekana isiwe vidonda vya tumbo, je huyo marehemu alikua akiharisha pia damu? Na alikua akiishi wapi na anajishugulisha na shuguli gani, kama aliwahi kuwa mvuvi au ametumia sana maji ya ziwa mito au mabwawa yawezekana alipata kichocho kilichokomaa kikahathiri Ini ndiyo maana alikua akitapika damu. Hii nimeiona sana kanda ya ziwa.
 
Kuhusu ganzi kwenye magoti na unyayo: Nenda kafanye full blood picture, hiyo ni nerves issues ila inasababishwa na issues za damu; hapo yawezekana una upungufu wa damu au una high uric acid. Umepungua uzito? Lishe yako ipoje?
 
Ni kweli kuna vihospitali vingine majanga matupu, je huyo mgonjwa wake alikua akiharisha damu pia? Maana kama ni vidonda vya tumbo angeharisha damu zaidi ya kutapika.
Huyu alitapika sana
 
Inawezekana isiwe vidonda vya tumbo, je huyo marehemu alikua akiharisha pia damu? Na alikua akiishi wapi na anajishugulisha na shuguli gani, kama aliwahi kuwa mvuvi au ametumia sana maji ya ziwa mito au mabwawa yawezekana alipata kichocho kilichokomaa kikahathiri Ini ndiyo maana alikua akitapika damu. Hii nimeiona sana kanda ya ziwa.
Ameishi kanda ya ziwa ni dereva wa bajiji, kuhusu kuwa mvuvi sijawahi kusikia maana ni kijana tumekuwa naye mtaani
 
Kuhusu ganzi kwenye magoti na unyayo: Nenda kafanye full blood picture, hiyo ni nerves issues ila inasababishwa na issues za damu; hapo yawezekana una upungufu wa damu au una high uric acid. Umepungua uzito? Lishe yako ipoje?
Full blood picture inapatikana kwenye vituo vidogo pia? Na gharama zake? Sijawahi kuwa na damu ndogo hii ni ajabu! Nilinenepa sana kwaio najaribu kupungua na nakula kawaida tu. Sio mlaji in such!
 
Kwenye madonda au ganzi?
Madonda.
Minyoo (inaitwa Ascaris lumbricoide) inachubua utumbo. Dalili za mtu mwenye minyoo hiyo Ni hizi hapa:
  • Kichefu chefu
  • Kutapika
  • Kuharisha
  • Kudhoofika kiafya
Zaidi soma hapa:👇
* What it is: Ascaris lumbricoides is the most common parasitic worm infection in humans worldwide. The adult worms live in the small intestine.
* Transmission: Infection occurs when a person swallows infective eggs, usually through consuming food or water contaminated with soil that contains human feces.
* Life Cycle: The ingested eggs hatch in the small intestine, and the larvae then migrate through the body, traveling through the bloodstream to the lungs. In the lungs, they mature, are coughed up, swallowed, and return to the small intestine where they mature into adult worms, mate, and lay eggs that are passed in the stool.
* Symptoms (Ascariasis):
* Many people have no symptoms.
* During larval migration (lungs): Symptoms can include fever, cough, wheezing, or shortness of breath.
* Adult worms (intestines): Symptoms can include mild abdominal discomfort, nausea, vomiting, or diarrhea.
* Heavy infections: Can lead to intestinal blockage (causing severe pain, vomiting, and abdominal swelling), malnutrition, or growth impairment in children. Adult worms can also migrate and block ducts (e.g., bile duct, pancreatic duct).

* Diagnosis and Treatment: Diagnosis is typically done by finding the characteristic eggs or adult worms in a stool sample. Treatment involves antiparasitic me
dications.
 
Full blood picture inapatikana kwenye vituo vidogo pia? Na gharama zake? Sijawahi kuwa na damu ndogo hii ni ajabu! Nilinenepa sana kwaio najaribu kupungua na nakula kawaida tu. Sio mlaji in such!

FBP (full blood picture) Hosp zote inapatikana.

Nenda tu hosp maana hapa tutakuhoji sana Shemej Seran
Je Umenenepa ukafika kg ngap?.
Kwenu mna asili ya unene?
Age yako?.

Hiyo Sio Uric kwa sababu ww sio mnywaji kupita kias.
 
How do you know😁 afu unaniita shemeji unataka kuninyima nn😂 kwetu wanene kiasi tu hakuna aliyepitiliza! Mi nna mwili wa kawaida tu huwa sipendi kuonekana mshangazi kwahiyo nikizidi sana napunguza ulaji..
 
😁😁😁 ww shem wangu tu.
Najua ww sio mnywaj sana.

Alaf ingekuwa Uric ungeanza kuumwa kwenye Viungo. Kama magoti kiuno na enka na sio ganzi.
Nishawah umwa mara 2. Ila haikuwa critical. Nikaacha Kimea kwa wiki 2 ikatulia.

Hiyi ganzi ni nerves.(mishipa ya faham kuna sehem haipekek taarifa inavyotakiwa)
Na Possible causes kwako naona ni uzito.
 
Hee mbona umeshikilia bango sasa!😆

Nmekuelewa mkuu ila mi sio mzito kilo hazivuki 70 na nipo 3rd floor
 
Back
Top Bottom