Kutapika damu kwa mgonjwa madonda ya tumbo inaweza kuwa hatari kiasi gani?

Kutapika damu kwa mgonjwa madonda ya tumbo inaweza kuwa hatari kiasi gani?

Duhh kwahiyo shida huenda ni ini? Na hayo mafundonya nyama ni kiasi kingi kutisha?
No,ni damu tu zilianza puani na mdomoni badae ikawa ndo zinatoka mafundo.
kipimo ikawa ni mapafu damaged,na maini yana maji.
Pigwa dozi nzito ikaisha vyema tu.
Na maji walivuta week 2 yote kwenye maini nikarudi sawa.
 
Dah pole sana na hongera kwa kupona! kwahiyo shida ni hepatitis au?
 
Hiyo ganzi si ulete hiyo miguu tuifanyie massage🤪

Pole mkuu, issues za namna hiyo ni kwenda hospitali tu hakuna namna, tena the earlier the better.
 
Hiyo ganzi si ulete hiyo miguu tuifanyie massage🤪

Pole mkuu, issues za namna hiyo ni kwenda hospitali tu hakuna namna, tena the earlier the better.
Hahah nimewaza sana ntapata wapi hii offer afadhali umejitokeza🄲

Asante sana! Naona tu kesho nikachunguzwe maana sielewi ganzi haikatiki!
 
Moja ya complication mbaya kwa wagonjwa wa vidonda vya tumbo ni Gastric Bleeding.

Na mojawapo ya dalili ni kuharisha damu au kutoa choo cheusi na kutapika damu.

Hivyo sio kutapika tu, unaweza ukaanza kuharisha hadi damu.

Mara nyingi kama una vidonda vya tumbo, ukiona unatoa choo cheusi, ni dalili kwamba unableed ndani ya tumbo, na ni emergency hii, unahitaji intevention ya haraka.

Ukiona mtu anatapika nusu ndoo maana yake ana bleed sana tumboni.

Na wagonjwa wa aina hii, huwa hawachukui round wana-RIP.
 
Hahah nimewaza sana ntapata wapi hii offer afadhali umejitokeza🄲

Asante sana! Naona tu kesho nikachunguzwe maana sielewi ganzi haikatiki!
Offer inatolewa bure kabisa mkuu, mda wako tušŸ˜…šŸ˜…

Yeah, issue za nerves muhimu ufanye check up mapema, ganzi isije kuharibu kila kitu mkuu!
 
Kutapika damu kunaweza sababishwa na vitu vingi sana kama vile.
1. Peptic ulcer disease( vidonda vya tumbo)
2. Oesophageal cancer
3. Gastroesophageal Reflex disease
4. Oesophageal varices

USHAURI; Nenda kapime hospitali
 
Moja ya complication mbaya kwa wagonjwa wa vidonda vya tumbo ni Gastric Bleeding.

Na mojawapo ya dalili ni kuharisha damu au kutoa choo cheusi na kutapika damu.

Hivyo sio kutapika tu, unaweza ukaanza kuharisha hadi damu.

Mara nyingi kama una vidonda vya tumbo, ukiona unatoa choo cheusi, ni dalili kwamba unableed ndani ya tumbo, na ni emergency hii, unahitaji intevention ya haraka.

Ukiona mtu anatapika nusu ndoo maana yake ana bleed sana tumboni.

Na wagonjwa wa aina hii, huwa hawachukui round wana-RIP.
Aiseee😰
 
Offer inatolewa bure kabisa mkuu, mda wako tušŸ˜…šŸ˜…

Yeah, issue za nerves muhimu ufanye check up mapema, ganzi isije kuharibu kila kitu mkuu!
Uko sahihi mkuu!

Acha nisogee karibu sasa nipate offeršŸ˜‚
 
Kutapika damu kunaweza sababishwa na vitu vingi sana kama vile.
1. Peptic ulcer disease( vidonda vya tumbo)
2. Oesophageal cancer
3. Gastroesophageal Reflex disease
4. Oesophageal varices

USHAURI; Nenda kapime hospitali
Huyu kashafariki! Nilitaka kwa faida ya wengine nijue kwanini atapike sana damu maana watu wengi hawana hii elimu washaanza kuhisi kupewa sumu au kulogwa kwasabu tu damu ni nyingi sana mpaka hospital wahisi alipata ajali!
 
Kutapika damu inatafsiri utumbo/tumbo limetoboka/limelika/kwaruzika kutokana na acid iliyojitengeneza mwilini kwa sababu mbalimbali-vidonda vya tumbo. Miguu kufa ganzi au kuwaka moto ni dalili ya presha inayopelekea mzunguko wa damu kutokufika maeneo mbalimbali kwa ufanisi- moyo. Ni vizuri kuwahi mapema hospitali, ili kutatua tatizo,vinginevyo linaweza kuongezeka na tatizo lingine kama sukari n.k​
 
Mkuu embu nisaidie Mimi ni kijana wa miaka 22 mwaka uliopita nlikuwa nasumbuliwa sana maumivu kwenye kiuno pamoja na ganzi Kali mguu wa kushoto nlivoenda hospitali nikakutana na intern doctor baada ya X-ray hakunieleza shida nini japokuwa pale kwenye Ile karatasi niliona ameandika flat back syndrome and lumbago with sciatica kitu alinielekeza ni aina flani ya mazoezi ambayo Huwa nafanya karibia Kila siku hata kabla sijaenda hospital pamoja na madawa ya maumivu kama Tramadol,pregabalin lakini Hadi leo sijaona tofauti yoyote na maumivu yanaongezeka na kupungua Kila siku shida unakuwa nini
Pole sana mkuu. Mimi siyo daktari ila nakushauri urudi tena hospital. Unaweza kwenda hata sehemu nne ndiyo wakagundua tatizo. Madaktari wa Bongo wana viburi sana kwa sababu dr anatakiwa amweleze mgojwa anachoumwa kwa undani na jinsi ya kujitibu.
 
Kutapika damu inatafsiri utumbo/tumbo limetoboka/limelika/kwaruzika kutokana na acid iliyojitengeneza mwilini kwa sababu mbalimbali-vidonda vya tumbo. Miguu kufa ganzi au kuwaka moto ni dalili ya presha inayopelekea mzunguko wa damu kutokufika maeneo mbalimbali kwa ufanisi- moyo. Ni vizuri kuwahi mapema hospitali, ili kutatua tatizo,vinginevyo linaweza kuongezeka na tatizo lingine kama sukari n.k​
Aiseee!🄺
 
Pia, naombeni msaada kuhusu Ganzi, mtu kupata ganzi kunasababisha na nini? imenishika maungio ya mguu gotini mpaka kwenye unyayo japo nyayo ndio sana tangu usiku wa kuamkia leo mpaka sasa hivi.. sijaanguka wala sina magonjwa yoyote!

Hii Ganzi au unyayo kuwaka moto inasababishwa na mfumo wa fahamu (nerves) kudhoofika au kuumia na kupelekea Nerves zilizo pembezon mwa mwili wako kutofanya kaz vizur.

Inaweza sababishwa na Ukosefu wa Vitamins ,uzito kupitiliza, Unywaji Pombe kupita kiasi au magonywa kama Kisukari au HIV.
 
Ni ganzi kabisa naisikia kwenye unyayo! Afadhali leo nimeamka haipo Mungu mwema! Nimeogopa hayo magonjwa ni makubwa jamani! Sukari.. ukimwi tena!! Hapana aisee!

Halafu hiyo vitamini inakuwaje mtu anakosa mbona najaribu kuwaza sielewi, ukinywa dawa za vitamins unaongeza vitamins ila ukiacha kula vitamins au ukila kiasi kidogo ndio inapungua au?
 
Seran wala usiogope bro.

Hiyo Ganzi ni nerves kukosa mawasiliano na damu haifiki vizur miguuni.

Sasa imesababishwa na nn?.
Well wote tumeongea likelihood kwamba huenda mambo kadhaa kama nilivyotaja mm.

Ila kwasababu unatakiwa Utibiwe. Ni vyema Ukaenda Hosp wajue chanzo na uanze Tiba.

Kama ni Vitamins zako zipo chini.
Dawa zipo.
Kama ni Kusukali dawa zipo pia. Kwahiyo sio Kitu cha kuogopa.
 
Kuna stage ikifikia "utakuwa unatapika na kuharisha damu"
-hapa unakuta umefikia point of no return.

Nakushauri tumia doz kamili ya heligokit+panthlo ili kutuliza.

Au chukua majani ya mashona nguo, yale majani machanga.. Yachemshe kutwa mara tatu nusu kikombe cha chai kwa muda wa siku saba..utapata faida kuu 2, kwanza vidonda vya tumbo vitakuwa historia, pili utakuwa umeongeza damu kwa wing sana.
 
Back
Top Bottom