Kitendo cha Lissu kutaka fanya maongezi na kina Kingai kabla ya kuanza kumtolea ushahidi kinaonyesha tosha kwamba Lissu is out.
Kingai na wenzake kutotoa ushahidi kunaashiria Lissu hakutaka fanya yafuatayo:
Kuwadhalilisha hawa wakuu wa vyombo vya usalama. IQ na Credibility zao ziikuwa zinaenda kuwa exposed kwa wananchi. Hadi leo wananchi bado wanakumbuka Kingai alivyosindwa jieleza kuhusu PGO mbele ya mahakama. Sasa ound hii wote wangebananishwa na nguli wa sheria, mtaani wangekuwa wanachekwa, huko jeshini wangeonekana hawafai, etc
UJIO WA AFCON TANZANIA
Kuna miezi michache tu kabla ya AFCON kuanza, nchi inahitaji utulivu katika kipindi hiki, Lissu kuendelea kaa ndani knafanya nchi kuendelea kuwa fragile, bad publicity, etc sitegemei Lissu kuendelea shikiriwa, makelele yaaenda haribu kabisa sifa za Uongozi wa Samia kimataifa zaidi ya yaliyotokea Okt29.
COMMON WEALTH
Hii club waga iko too linient, sasa ikichukua hatua zozote za kukata mashirikiano yake na TZ, inaama club zote za wababe zilizobaki zitachukua hatua kali zaidi, na hawa watu hawanaga ngonjera za uvumilivu. Kumbuka hadi sasa watanzania washapigwa pin kwenda USA, unless uwe msanii au mfanyakazi wa serikali, ila tayari milio ya wafanyabishara kama kina Benja.F inasikika, hao kina Rostam watakuwa kimya tu sababu unaweza kuta ana Pass za kutosha, ila wafanyabiashara wengi sasa hivi ni kilio. Wanaomba Lissu aachiwe, tuanze onekana wasafi, biashara zirudi kama kawaida.
Yapo mengi, ila kifui dalili zote zinaonyesha Lissu is out.