Kutekwa kwa mtumishi wa umma/ serikali kuna uhusianao na yaliyomo kwenye kitabu cha Kabendera?

kama ni mtumishi wa tiss na alitoa siri, namwonea huruma, wampe tu nafasi ya kutubu kwanza ili anakoenda kuwe kuzuri.
 
MBONA HUJAELEWEKA NIN NANI HUYO KATEKWA TENA?

Soma tena au Nenda ka receit mithihani Kama huelewi, ila na Mwandishi amefanya assumption ya kipumbavu kwamba kila mtu ana taarifa ya huo utekaji!
 
Soma tena au Nenda ka receit mithihani Kama huelewi, ila na Mwandishi amefanya assumption ya kipumbavu kwamba kila mtu ana taarifa ya huo utekaji!
Mwandishi aliwalenga GT tu!
 
Andiko iliwalenga great thinkers pekee, wengine mnadandia tu
 
Andiko iliwalenga great thinkers pekee, wengine mnadandia tu
Wewe ni GT wa wapi? Kujiunga kitambo Jf haikufanyi uonekane GT, akili mpya zinaongezeka kila siku pia ungekua GT kweli ungeshusha nondo za uhakika sio hizi habari za kusadikika
 
Kabendera kaandika kitabu cha hearsay, alitakiwa alete vitu tangible, sio kuleta story zisizo na ushahidi kabisa na ambazo ni rahisi san akuzipangua.
Anza wewe kuipangua tuone. Kumbuka kitabu kile kwa sasa kinauzwa kwa nchi zilizoendelea na kustarabika. Wewe huenda baada ya kumaliza shule hizi za kata haujawahi kusoma kitabu chochote
 
Wewe ni GT wa wapi? Kujiunga kitambo Jf haikufanyi uonekane GT, akili mpya zinaongezeka kila siku pia ungekua GT kweli ungeshusha nondo za uhakika sio hizi habari za kusadikika
Jiulize ulisoma kitabu mara ya mwisho mwaka gani
 
Fafanua maana bado umeacha MAMBO gizani mkuu.
 
Jiulize ulisoma kitabu mara ya mwisho mwaka gani
Cornelius Ryan (author of The Last Battle and A Bridge Too Far), The Longest Day June 6, 1944 (name of the book)

Nimekimaliza Jana, uliza swali jingine
 
Tulishakuonya wewe mara kadhaa kwamba Shetani hana Rafiki, endelea kujipendekeza
hahahaaa aisee yaani sasahivi nakuhurumia sana maana kwa kipindi hiki hujulikani unakula au unaliwa yaani hujulikani ni wa kike au wa kiume yaani hujulikani utampenda lissu au utaendelea na sultani ABUBAKAR BIN MBOWE kama ulivyopenda kumsifia kwa bashasha enzi za mapenzi yenu motomoto
 
View: https://www.instagram.com/p/DEcfX_CtTPN/?igsh=MWV5ZXpwbjU3cjQxZg==
 
Haswaaaa ni sahihi......!! Wenyewe kwa wwnyewe sasa na bado watavurugana sanaaa
 
Hivi mtu akiwa anakosoa kosoa humu JF hawezi kuwindwa na kunaswa?

Kwa sababu hali inatisha sasa, wanatekwa hata watu ambao siyo maarufu wa kisiasa.
Yaani ananaswa KULAINI. "Be aware"
 
Kama huyu katekwa huu ni uthibitisho tosha kuwa tasrifa zilizomo kwenye kitabu Cha Kabendera ni sahihi kabisa, kama sio sahihi vp uhangaike kuteka watu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…