Kutembea na mfanyakazi wa ndani (house maid) hakuna tofauti na mwalimu kulala na mwanafunzi ni kujizalilisha kabla ya kuzalilika

Kutembea na mfanyakazi wa ndani (house maid) hakuna tofauti na mwalimu kulala na mwanafunzi ni kujizalilisha kabla ya kuzalilika

Dunia ina vitu vingi sana vya kuoffer, sijui kwanini watu hupenda kujifungia kwenye kabox kadogo.

Dunia ina watu wengi mno, anyways mimi sio ME, siwezi fikiri kama ME. Ila ME mjitahidi kupunguza migogoro isiyokuwa ya lazima.
 
Dunia ina vitu vingi sana vya kuoffer, sijui kwanini watu hupenda kujifungia kwenye kabox kadogo.

Dunia ina watu wengi mno, anyways mimi sio ME, siwezi fikiri kama ME. Ila ME mjitahidi kupunguza migogoro isiyokuwa ya lazima.
For the first time nimesoma female perspective kwenye haya maswala

Jicho upande wa pili
 
Vitu siwezi kufanya kwenye mahusiano ni kutembea na Co-worker wa ofisini, House girl na Mwanafunzi wa Msingi au Secondary.

Kwanza wengi bado hawajakuwa, inakuwa ni kama ubakaji tu.

Juzi nilisafiri na binti mmoja anaingia kidato cha sita, kale kabinti kalionesha dalili zote kanahitaji mambo......kalipoona nimekakazia kakaomba namba ya simu.

Wakati tunakaribia kushuka stendi nikakasisitiza kasome kwa bidii, kwani Umri wa Mama Samia umeshasonga hivyo tuna mtegemea aje kuwa Rais mwingine wa kike baada yake.....
Hongera sana kwa kusimama kama mzazi mwaisa
 
Of course kalikuwa kanasoma Girls school, usipoweza kudhibiti hisia unaweza kuta Picha yangu kubwa kwenye gazeti kuwa Mkulima wa Mahindi Grahams afungwa miaka 30 kwa kula visivyoliwa 😅

Mambo mengine bora kuyaacha yatupite
Na ukianza ni kama kilevi huachi
 
Ndugu zangu nawasihi simameni kama wazazi!
Unapopoewa dhamana ya kumlinda mtoto wa mtu hakikisha unatimiza majukumu hata kama kuna udhaifu wowote!

Mimi enzi nafundisha shule ya kujitolea enzi hizo nimemaliza chuo!
Kuna kabinti kalinitamkia waziwazi Ikanahitaji penzi langu! Lakini nilikumbuka maneno ya mzazi wangu kwamba unapopatiwa majukumu simama kama mzazi hata kama kuna udhaifu!

Yule binti nilimsihi atulie asome kwanza mambo hayo yapo tu, nikamsihi awe na aman na nilipongeza kwa ujasiri wa kueleza hisia zake! Nikamwambia sasa kasome kwa bidii ngono haiui na wala haishishi (haitoshekeki)

Binti alielewa kwa vile niliongea naye kwa hekima kama mzazi alinielewa vizuri!

Sasa kizazi cha Leo imekuwa kawaida!
1. Mwenye nyumba kutembea na mfanyakazi house boy/girl
2. Imekuwa kawaida mwalimu kugeuza vimada wanafunzi
3. Huko mtwara kuna DC anatuhuma za kutembea na mwanafunzi

Haya ni mambo ya ajabu sana kwasababu!
1. Ukisimama kama mzazi hata binti wa kazi akikaa uchi utamkumbusha kuvaa
2. Ukisimama kama mzazi hata ukitegwa kimalaya unaelekeza kama mzazi

Binti wa kazi hata akikufunika shuka chumbani mkeo akiwa hayupo ukisimama kama mzazi huwezi katu katu kumgeuza mkeo!

Hata kama mkeo hakutimizii mwanaume anaejielewa huenda kuchepuka huko na wanawake ...kuliko kutembea na binti wa kazi au mwalimu kulala na wanafunzi!

Simameni kama wazazi jamani
Sasa yeye House maid anyanduliwe na nani? Mbona hujali haki ya msingi na hisia kwa wenzio?

Au nayeye anakuwa ameolewa? [emoji23]
 
Kama hajabakwa na ni mtu mzima hakuna kosa.
Wanawake utu uzima huanza na miaka 14

Mambo ya kina P funk na paula.. Tafuna tu vibinti vya umri huo ili ikifika zamu ya wa kwako mkuu, utaelewa wazazi wao wanachokipitia
 
Ukishatembea na mfanyakazi wa ndani,lazima atamletea dharau mke wako nyumbani
Mwanaume smart,gentlemen hawezi fanya upuz huo maana anajua nini kitatokea

Ova
 
Ukishatembea na mfanyakazi wa ndani,lazima atamletea dharau mke wako nyumbani
Mwanaume smart,gentlemen hawezi fanya upuz huo maana anajua nini kitatokea

Ova
Akileta dharau kwa madam boss anakua amechoka kazi ni kumpa redundancy tu.
 
Aliyemikononi mwako kimalezi huyo ni kama mwanao hakikisha unasimama kama mzazi
House girl ni mwajiriwa kama waajiriwa wengine. Kuongezewa na kubadilishiwa majukumu ni wajibu wa mwajiri kwa mwajiriwa wake.
 
Ukishatembea na mfanyakazi wa ndani,lazima atamletea dharau mke wako nyumbani
Mwanaume smart,gentlemen hawezi fanya upuz huo maana anajua nini kitatokea

Ova
Hivyo kabisa! Inatakiwa umchukulie kama mtoto hata kama makalio makubwa kama behewa! Simama kama mzazi!
Ebu waza watoto wako wakijua wataona wana mzazi fala namba gan
 
Upande wenu labda mnalielewa hili zaidi.
Uko sawa maneno yana maana wanaume tuna luxury ya kuchagua nje ya box na kufanya ujinga without social stigima ,bila mawazo ya kuoa au ndoa , hatuna kitu kinaitwa body count au milage . So upo sahihi wanafunzi wa nini kuleta matatizo .


Hapo ndipo tunakuja upande wetu wa pili jibu ni tuna udhaifu linapokuja swala la ngono
 
Na ukianza ni kama kilevi huachi
Ni kweli Mkuu, maana kuna ambao wamewahi kuwadate wanawasifia eti mnato but huo mnato usije kupeleka jela ukaharibu maisha yako bure
 
Hongera sana kwa kusimama kama mzazi mwaisa
Suala la malezi ya mtoto wa kike/kiume kwa Dunia ya sasa inahitaji ushirikiano ili waweze kusoma na kutimiza ndoto zao.

Wanaume wakwale wamekuwa wengi sana miaka hii, tena kuna ambao hawajielewi wanaanza kutembea nao tangu wakiwa shule za msingi 🙌
 
Back
Top Bottom