Kutembea na mfanyakazi wa ndani (house maid) hakuna tofauti na mwalimu kulala na mwanafunzi ni kujizalilisha kabla ya kuzalilika

Dunia ina vitu vingi sana vya kuoffer, sijui kwanini watu hupenda kujifungia kwenye kabox kadogo.

Dunia ina watu wengi mno, anyways mimi sio ME, siwezi fikiri kama ME. Ila ME mjitahidi kupunguza migogoro isiyokuwa ya lazima.
 
For the first time nimesoma female perspective kwenye haya maswala

Jicho upande wa pili
 
Hongera sana kwa kusimama kama mzazi mwaisa
 
Of course kalikuwa kanasoma Girls school, usipoweza kudhibiti hisia unaweza kuta Picha yangu kubwa kwenye gazeti kuwa Mkulima wa Mahindi Grahams afungwa miaka 30 kwa kula visivyoliwa 😅

Mambo mengine bora kuyaacha yatupite
Na ukianza ni kama kilevi huachi
 
Sasa yeye House maid anyanduliwe na nani? Mbona hujali haki ya msingi na hisia kwa wenzio?

Au nayeye anakuwa ameolewa? [emoji23]
 
Kama hajabakwa na ni mtu mzima hakuna kosa.
Wanawake utu uzima huanza na miaka 14

Mambo ya kina P funk na paula.. Tafuna tu vibinti vya umri huo ili ikifika zamu ya wa kwako mkuu, utaelewa wazazi wao wanachokipitia
 
Ukishatembea na mfanyakazi wa ndani,lazima atamletea dharau mke wako nyumbani
Mwanaume smart,gentlemen hawezi fanya upuz huo maana anajua nini kitatokea

Ova
 
Ukishatembea na mfanyakazi wa ndani,lazima atamletea dharau mke wako nyumbani
Mwanaume smart,gentlemen hawezi fanya upuz huo maana anajua nini kitatokea

Ova
Akileta dharau kwa madam boss anakua amechoka kazi ni kumpa redundancy tu.
 
Aliyemikononi mwako kimalezi huyo ni kama mwanao hakikisha unasimama kama mzazi
House girl ni mwajiriwa kama waajiriwa wengine. Kuongezewa na kubadilishiwa majukumu ni wajibu wa mwajiri kwa mwajiriwa wake.
 
Ukishatembea na mfanyakazi wa ndani,lazima atamletea dharau mke wako nyumbani
Mwanaume smart,gentlemen hawezi fanya upuz huo maana anajua nini kitatokea

Ova
Hivyo kabisa! Inatakiwa umchukulie kama mtoto hata kama makalio makubwa kama behewa! Simama kama mzazi!
Ebu waza watoto wako wakijua wataona wana mzazi fala namba gan
 
Upande wenu labda mnalielewa hili zaidi.
Uko sawa maneno yana maana wanaume tuna luxury ya kuchagua nje ya box na kufanya ujinga without social stigima ,bila mawazo ya kuoa au ndoa , hatuna kitu kinaitwa body count au milage . So upo sahihi wanafunzi wa nini kuleta matatizo .

Hapo ndipo tunakuja upande wetu wa pili jibu ni tuna udhaifu linapokuja swala la ngono
 
Na ukianza ni kama kilevi huachi
Ni kweli Mkuu, maana kuna ambao wamewahi kuwadate wanawasifia eti mnato but huo mnato usije kupeleka jela ukaharibu maisha yako bure
 
Hongera sana kwa kusimama kama mzazi mwaisa
Suala la malezi ya mtoto wa kike/kiume kwa Dunia ya sasa inahitaji ushirikiano ili waweze kusoma na kutimiza ndoto zao.

Wanaume wakwale wamekuwa wengi sana miaka hii, tena kuna ambao hawajielewi wanaanza kutembea nao tangu wakiwa shule za msingi 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…