Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 252
- 301
Hatari sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa mzee baba alizamia na pajama tu(ndani hamna kitu)Mfalme Daudi na Magufuli watakuelewa vizuri sana huko waliko
Watoto wa nje ni kawaida sana katika jamii zetu.Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae.
Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
Je kama mme kashindwa kumpa ujauzito, kwahiyo kaamua kujiongeza nayo imekaaje hapo?Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae.
Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
Tena ndiyo wenye Upendo mkubwa sana Kwa baba asiye wadamu yake na ambaye hajijui kabisa 😃Watoto wa nje ni kawaida sana katika jamii zetu.
Si alisemaga hapangiwi cha kufanya. Jamaa atakuwa alimpigia sana nyeto walipokuwa mawaziri afu JK atakuwa alijuwa. Vipi kwa Kairuki?Unaambiwa mzee baba alizamia na pajama tu(ndani hamna kitu)
Ila kabendera kwa fix nae, hii si chai ya asubuhi hiii?
Yaai p.s.u wakuruhusu utoke na pajama halafu ukiwa unaenda ghetto la number 2, wakuache tu bila hata kukupa ushauri?
Mtasema mzee baba alikua anaogopeka mpaka kwa manjiwa(p.s.u)
Kama walikua wanamwogopa kwa nini kuna siku walikua wanamputa mikono ili Asishikane mikono na waliokuja kumpokea?
P.s.u walimputa mikono mpaka akakasirika lakini hakusema kitu
Watoto wana kosa gani?Na ww mume wa mtu acha kuzalisha nje ya ndoa m wanao wakija siku ya msiba mtaongozana nao uko uendapo
M siwez kwakwelWatoto wana kosa gani?
Kwahyo hukodi wahuni wamle kiboga mngoni wako ? .Mtu azae na mke wangu huo utakuwa ndio mwisho wa mahusiano ya kindoa na mke wangu namuacha kiulaini bila kumpa adhabu kali, najitenga naye kimtindo. Hata nyumba namuachia akae na watoto wangu pamoja na huyo kenge aliyezaliwa kwenye boma yangu. Sina utamaduni wa kujaziwa watoto wa nje kwenye himaya yangu. Mke aendelee tu kutoa penzi kwa huyo mkora anayempenda na mimi nitapata tu mke mwingine aliyeumizwa na mume wake wako wengi na wanahitaji waume wa kuwafariji kutokana na kusalitiwa
Unaongea Kwa maumivu na hasira kweli, pole sana.Shida inaanzia hapo hiyo mianamke inapojiaminisha kwamba inatakiwa izae na mwanaume mmoja, km ukikuta kazaa sahau kuzaa na mijinga inayoamini hvyo.