Kutembea na mke wa mtu na kuzaa naye ni kosa kubwa sana

Mfalme Daudi na Magufuli watakuelewa vizuri sana huko waliko
Unaambiwa mzee baba alizamia na pajama tu(ndani hamna kitu)


Ila kabendera kwa fix nae, hii si chai ya asubuhi hiii?

Yaai p.s.u wakuruhusu utoke na pajama halafu ukiwa unaenda ghetto la number 2, wakuache tu bila hata kukupa ushauri?

Mtasema mzee baba alikua anaogopeka mpaka kwa manjiwa(p.s.u)

Kama walikua wanamwogopa kwa nini kuna siku walikua wanamputa mikono ili Asishikane mikono na waliokuja kumpokea?

P.s.u walimputa mikono mpaka akakasirika lakini hakusema kitu
 
Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae.

Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
Je kama mme kashindwa kumpa ujauzito, kwahiyo kaamua kujiongeza nayo imekaaje hapo?

Maana kuna watu wengi wanalea mbegu za watu tu wao ndiyo hivyo tena, ukae ukijua si wanaume wote wanauwezo wakutungisha mimba.
 
Si alisemaga hapangiwi cha kufanya. Jamaa atakuwa alimpigia sana nyeto walipokuwa mawaziri afu JK atakuwa alijuwa. Vipi kwa Kairuki?
 
Na ww mume wa mtu acha kuzalisha nje ya ndoa m wanao wakija siku ya msiba mtaongozana nao uko uendapo
 
Kwahyo hukodi wahuni wamle kiboga mngoni wako ? .
 
Shida inaanzia hapo hiyo mianamke inapojiaminisha kwamba inatakiwa izae na mwanaume mmoja, km ukikuta kazaa sahau kuzaa na mijinga inayoamini hvyo.
 
Shida inaanzia hapo hiyo mianamke inapojiaminisha kwamba inatakiwa izae na mwanaume mmoja, km ukikuta kazaa sahau kuzaa na mijinga inayoamini hvyo.
Unaongea Kwa maumivu na hasira kweli, pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…