Maxmalipo App imetengenezwa na Indian Company hapa imezinduliwa tuKm nimemwelewa vizuri,jamaa atakuwa anamaanisha app inaweza kuwa ya kizawa kbs Ila hakuna App iliyotengenezwa na mzawa ikafanya vizuri sokoni,ndy akazitolea mifano hizo alizotaja
Vp kuhusu maxmalipo ilitengenezwa hapa hapa bongo na wazawa? Au bongo ilikuja kuzinduliwa Tu?
Nimeshawai kufanya kazi pale- nnaongea haya from my expirience sijiropokei! Nnajua nini kipo uwezo tulionao Watanzania kwenye ishu za IT na Tunakwama wapi kama Taifa.What about this boss?
Adiuta
Accounting, Point of Sale, Manufacturing and Maintenance software, helping you manage and grow your businessadiuta.com
Adiuta Business Assistant - Apps on Google Play
Manage your business Sales, Expenses, Inventory, Accounting and moreplay.google.com
And it is not the only Software made in Bongo!
Nimeamua kunyamaza ila kuna mengi ya kusema hapa!
Ulishawahi kufanya kazi pale au unaongea from theoretical experience?

Sawa acha ninyamaze pia. Nimekuonyesha sampuli ya kitu Wabongo wanaweza fanya. Naona ume ignore.Nimeshawai kufanya kazi pale- nnaongea haya from my expirience sijiropokei! Nnajua nini kipo uwezo tulionao Watanzania kwenye ishu za IT na Tunakwama wapi kama Taifa.
Mkuu naomba kujua maana ya hii abbreviation API..Hapa umeniacha kidogoAs minima:
Web Platform: 10 - 15mil
API: 3 - 5mil depending na operations zipi kwenye web platform zinakuwa kwenye mobile app
Android App: 7 - 15mil depending on APIs
iOS app: 7 - 15 mil depending on APIs
Bwana Mtangoo (jina kama la jamaa tulikuwaga nae DIT na Late Mwalembe😁(RIP) ???Vijana wana IT wa Tanzania hii kitu mpaka leo wamezalisha Marketable APP ngapi?? NMB Bank API SandboxIntroduction. Maana NMB inasubiria kuwajaza Maela ma IT wa TZ wapo wapi?? Kuchangamkia Fursa😂😂😭 hii ya NMB inafuata all Software Desing Requirements including the hardest part in Banking App and System Design. EMV Certifications😂😂 EMV certifications App yako ikipass wewe ni Kidume kwenye Software /APP making! Show me Mbongo ambae ni Developer mwenye EMV certified App au Software😃What about this boss?
Adiuta
Accounting, Point of Sale, Manufacturing and Maintenance software, helping you manage and grow your businessadiuta.com
Adiuta Business Assistant - Apps on Google Play
Manage your business Sales, Expenses, Inventory, Accounting and moreplay.google.com
And it is not the only Software made in Bongo!
Nimeamua kunyamaza ila kuna mengi ya kusema hapa!
Ulishawahi kufanya kazi pale au unaongea from theoretical experience?
Ok..asante Kwa taarifa.Bongo inabidi tukaze buti Kwa kweliMaxmalipo App imetengenezwa na Indian Company hapa imezinduliwa tu
API - Application Programming Interface. Take it kama mkalimani kati ya Backend database na business logic na Mobile app au Front End JS frameworks. Mobile app haina uwezo wa kuhifadhi, ku process data moja kwa moja kwenye server. Bali inatuma maombi husika kwenye server via API. API inayafanyia kazi na kurudisha majibu kwa namna ambayo ni unchanging. That way Mobile app et al, iaweza kuongea na server!Mkuu naomba kujua maana ya hii abbreviation API..Hapa umeniacha kidogo
Shukrani mkuu! Na API yao nnayo hapa Hawa Madogo waliowatengenezea Walinitumiaga CopyOk..asante Kwa taarifa.Bongo inabidi tukaze buti Kwa kweli
Alikuwa ndugu yangu boss. Kwa sasa ni marehemuBwana Mtangoo (jina kama la jamaa tulikuwaga nae DIT na Late Mwalembe😁(RIP) ???
Kitu ambacho unasahau, mazingira ya kwetu hayaruhusu growth ya small business. As someone in private business since 2011, naweza kukwambia kwa hakika, vijana wengi wamekimbia kujiajiri sio kwa kushindwa kudevelop apps na idea marketable but waliona mtiti kuendesha biashara bongo. Wakaona isiwe tabu wakaenda kuajiriwa. So it is more of biz environment kuliko kutokuwa na uwezo wa kuandika code. Business is far bigger thing than writing great code.Vijana wana IT wa Tanzania hii kitu mpaka leo wamezalisha Marketable APP ngapi??
Sio kweli. Unanilazimisha niseme kitu sitaki kusema. Shindwa kwa Jina la Yesu!NMB Bank API SandboxIntroduction. Maana NMB inasubiria kuwajaza Maela ma IT wa TZ wapo wapi??
Nakemea, shindwa...!Kuchangamkia Fursa😂😂😭 hii ya NMB inafuata all Software Desing Requirements including the hardest part in Banking App and System Design. EMV Certifications😂😂 EMV certifications App yako ikipass wewe ni Kidume kwenye Software /APP making!
Zipo ni Corporate na zina NDA. Tatizo mnataka watu wapigwe faini.Show me Mbongo ambae ni Developer mwenye EMV certified App au Software😃
Ukipita comments by comments utaelewa punches zao hazina maana. Hawana ujuzi, negative kabisa.Sawa..jamaa walikupiga punches nyingi sn Ila bado ukawadindia mpaka mwisho[emoji28]
Zero kabisa 😅😅😅Ukipita comments by comments utaelewa punches zao hazina maana. Hawana ujuzi, negative kabisa.
Nilichogundua mpaka sasa uwezo wa ng'ombe katika masuala ya IT hauna tofauti na uwezo wa IT wa ma-IT wetu wa bongo. Wote ni sifuri😆Zero kabisa 😅😅😅
Unamkosea heshima ng'ombe. Anatupa maziwa atii!Nilichogundua mpaka sasa uwezo wa ng'ombe katika masuala ya IT hauna tofauti na uwezo wa IT wa ma-IT wetu wa bongo. Wote ni sifuri😆View attachment 2089100
Wewe ni IT wa Bongo? Au nchi gani?Mbona ni rahisi sana na unaweza kufanya mwenyewe kwa gharama isiyozidi laki 3
Mnapenda complicate mambo wakati ni vitu vya kitoto kabisa
Mimi naweza kukusaidia bure kabisa lakini nieleze kwa undani kama una uhakika utaingiza hela na hii app unayotaka
Nakuelekeza bure mhimu uwe na computer, ujuwe kutumia computer na unafahamu kiingereza
Gharama zisizoepukika hapo ni hizi 3 zifuatazo tu
1. Hosting ya website yako
2. Hosting ya app yako kwenye Google na kwenye app store
3. Domain name
Vingine vyote tofauti na hivyo vitatu unaweza kupata BURE
I feel u man!!Assume Database na Biz logic ni Wahindi, halafu Mobile app n Wabongo. Mbongo anajua kiswahili na Mhindi anajua Kihindi tu. Then ili wafanye kazi pamoja inabidi uwe na mkalimani. API ni mkalimani .... in layman language!
Akikujib nitag..Nimepata na wasiwasi baada ya kutajaWewe ni IT wa Bongo? Au nchi gani?
Mkuu nadhani hapo kwenye laki 3 umetype vibayaMbona ni rahisi sana na unaweza kufanya mwenyewe kwa gharama isiyozidi laki 3
Mnapenda complicate mambo wakati ni vitu vya kitoto kabisa
Mimi naweza kukusaidia bure kabisa lakini nieleze kwa undani kama una uhakika utaingiza hela na hii app unayotaka
Nakuelekeza bure mhimu uwe na computer, ujuwe kutumia computer na unafahamu kiingereza
Gharama zisizoepukika hapo ni hizi 3 zifuatazo tu
1. Hosting ya website yako
2. Hosting ya app yako kwenye Google na kwenye app store
3. Domain name
Vingine vyote tofauti na hivyo vitatu unaweza kupata BURE
Hujaona bure pale chini?Akikujib nitag..Nimepata na wasiwasi baada ya kutaja
laki 3 [emoji28]
Hata unakoenda kununua bidhaa dukani,kuna bei ya bidhaa Fulani ukitajiwa lazima ushtuke.Jamaa amenishtua alipotaja laki 3