Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Mkuu nakufata PM. tafadhari!Kuna kipindi nliweka uzi hapa ikaonekana n kama napigia promo ka biashara kangu ka kubangaiza ka kuuza wavu za kuvua samaki.
Kumbe kuna jambo nlitaka nisaidie raia.
Anyway, uvuvi n moja ya sekta isiyokuwa na complications ktk uwekezaji.
Tukiachana na uvuvi mkubwa, kuna uvuvi mdogo ambao uwekezaji wake hauwez kuzidi hata 1mil na kwa siku ukawepo uwezekano wa mtu kupiga zaid ya 70k.
Shida n kwamba vijana hatutaki habari za uvuvi.