Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
We jamaa ni jembe sana.. tutafutane!Ukijua kula na wakubwa, hii biashara haikupi shida hata kdg.
Imagine unashusha mzigo wa kama 3m, ndani ya masaa 5 hadi 10 mzigo unaisha na unakuwa umepiga mil 9 hadi 10. Ukiondoa mchakato mzima wa usafirishaji na kulipia vijifaini vidogodogo unakuwa na around 7 mil.
Tatzo humu tunajazana hofu sana, hatutaki kujiweka rehani[emoji23].
Tunasubiri tubanwe na maisha ndo tuwaze kujiua, wakati shughuli zipo, unakamatwa, unapigwa faini na umetengeneza faida.