Kutengeneza milioni 3 ndani ya mwezi mmoja

Kutengeneza milioni 3 ndani ya mwezi mmoja

subiri mechi ya simba mpe win,chelsea mpe win ,man city mpe win utakuja kunishuru
 
Leta madini mkuu
Kuna kipindi nliweka uzi hapa ikaonekana n kama napigia promo ka biashara kangu ka kubangaiza ka kuuza wavu za kuvua samaki.
Kumbe kuna jambo nlitaka nisaidie raia.

Anyway, uvuvi n moja ya sekta isiyokuwa na complications ktk uwekezaji.
Tukiachana na uvuvi mkubwa, kuna uvuvi mdogo ambao uwekezaji wake hauwez kuzidi hata 1mil na kwa siku ukawepo uwezekano wa mtu kupiga zaid ya 70k.

Shida n kwamba vijana hatutaki habari za uvuvi.
 
kwann ishu ya uvuvi watoke mijini mkuu?
Asilimia kubwa ya mito, mabwawa, visima na hata baadhi ya mito iko nje kdg ya miji, ukiachana na maeneo kama ziwa victoria, Singidani, n.k...
Hii n kulingana na utafiti mdogo nloufanya.
 
Kuna kipindi nliweka uzi hapa ikaonekana n kama napigia promo ka biashara kangu ka kubangaiza ka kuuza wavu za kuvua samaki.
Kumbe kuna jambo nlitaka nisaidie raia.

Anyway, uvuvi n moja ya sekta isiyokuwa na complications ktk uwekezaji.
Tukiachana na uvuvi mkubwa, kuna uvuvi mdogo ambao uwekezaji wake hauwez kuzidi hata 1mil na kwa siku ukawepo uwezekano wa mtu kupiga zaid ya 70k.

Shida n kwamba vijana hatutaki habari za uvuvi.
Kwa mtu asiye na ujuzi wa kuvua hii biashara inanufaisha vipi?
 
Kwa mtu asiye na ujuzi wa kuvua hii biashara inanufaisha vipi?
Asilimia kubwa ya wawekezaji ktk sekta hii hawahusiki directly ktk uvuvi.
Wengi wao huwekeza kwa kununua zana na kuchonga mitumbwi... Then huajiri vijana wa kupiga kazi kwa makubaliano maalum....

Apart from that hii n biashara kama biashara zingine, iko na mnyororo wa thamani i.e mvuvi-----mnunuzi------ msafirishaji----mchuuzi------mlaji.

Hivyo n rahisi kuingia ktk chain ukiwa kama mnunuzi or msafirishaji or mchuuzi na ukapiga ela.
 
Kuna kipindi nliweka uzi hapa ikaonekana n kama napigia promo ka biashara kangu ka kubangaiza ka kuuza wavu za kuvua samaki.
Kumbe kuna jambo nlitaka nisaidie raia.

Anyway, uvuvi n moja ya sekta isiyokuwa na complications ktk uwekezaji.
Tukiachana na uvuvi mkubwa, kuna uvuvi mdogo ambao uwekezaji wake hauwez kuzidi hata 1mil na kwa siku ukawepo uwezekano wa mtu kupiga zaid ya 70k.

Shida n kwamba vijana hatutaki habari za uvuvi.

Kuna kipindi nilienda kusini huko,
ndugu yangu wa karibu alikuwa anauza nyavu za uvuvi, nyavu fulani ukikamatwa na wahusika, yatakupata ya Sabaya.

alikuwa ananunua wavu moja elfu arobaini mpaka hamsini kwa kule nyumbani.

akifika kusini huku anauza wavu moja laki mbili mpaka tatu.

wavu zilikuwa zikifika asubuhi saa kumi na mbili, mpaka saa nne asubuhi zote zimeisha.
alikuwa analeta wavu 30 mpaka 50 kwa safari moja.
 
Inawezekana kama upo dar tafuta vijana 5 nenda manjinioni mnunulie kila kijana utumbo kilo 15 wawe wale wanaouza mitaani nunua vile vimzan vidogo vya elfu ishirini ,nasikia utumbo manjinion huwa n 1500 kwa 1kg,we unauza 4000 per kg hapo unapata faida ya 25000 kwa siku,utakua na uhakika wa kupata 750000 kwa mwezi kwa kila kijana hyo 3000000 utaipata wawe waaminifu tu.
 
Kuna kipindi nilienda kusini huko,
ndugu yangu wa karibu alikuwa anauza nyavu za uvuvi, nyavu fulani ukikamatwa na wahusika, yatakupata ya Sabaya.

alikuwa ananunua wavu moja elfu arobaini mpaka hamsini kwa kule nyumbani.

akifika kusini huku anauza wavu moja laki mbili mpaka tatu.

wavu zilikuwa zikifika asubuhi saa kumi na mbili, mpaka saa nne asubuhi zote zimeisha.
alikuwa analeta wavu 30 mpaka 50 kwa safari moja.
Ukijua kula na wakubwa, hii biashara haikupi shida hata kdg.
Imagine unashusha mzigo wa kama 3m, ndani ya masaa 5 hadi 10 mzigo unaisha na unakuwa umepiga mil 9 hadi 10. Ukiondoa mchakato mzima wa usafirishaji na kulipia vijifaini vidogodogo unakuwa na around 7 mil.

Tatzo humu tunajazana hofu sana, hatutaki kujiweka rehani[emoji23].
Tunasubiri tubanwe na maisha ndo tuwaze kujiua, wakati shughuli zipo, unakamatwa, unapigwa faini na umetengeneza faida.
 
Chukua hiyo 500k tia jamvi
Yanga_win
Liverpool_win
Azam_Draw
Sherrif_Mpe handicap
Utakuja kunishukuru baadae
Kuna kitu wanaita BANKER..., Draw haijawahi kuwa Banker..., sio bahati mbaya bookies kuipa odds za approximately 3

Unaonaje ushauri huu ukajipa alafu baadae ukajishukuru..
 
Nunua vitu 50 vya sh elf 10 kila kimoja, uza kwa 60k = 3M that is the formula.
 
Back
Top Bottom