jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wanachukua bidhaa gani wanazoenda kuuza.?Hawa jamaa wanajiitaga makoti. Utakutana nao nje ya mji wakiwa na mizigo kwenye mifuko mikubwa ya sulphate maarufu kama "shangazi kaja". Mara nyingi huvaa rain buti kutokana na routes wanazokuwa nazo kwenye vichochoro vyenye vumbi.
Kariakoo wanachukua bidhaa kwa bei flan halafu wanaenda kuchuuza nje kabisa ya mji.
Ni watu wanaoona mbali sana. Kwao sh laki tatu huwaingizia laki tano. Hapo faida n laki 2 kwa siku.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app