Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Mkuu nakufata PM. tafadhari!Kuna kipindi nliweka uzi hapa ikaonekana n kama napigia promo ka biashara kangu ka kubangaiza ka kuuza wavu za kuvua samaki.
Kumbe kuna jambo nlitaka nisaidie raia.
Anyway, uvuvi n moja ya sekta isiyokuwa na complications ktk uwekezaji.
Tukiachana na uvuvi mkubwa, kuna uvuvi mdogo ambao uwekezaji wake hauwez kuzidi hata 1mil na kwa siku ukawepo uwezekano wa mtu kupiga zaid ya 70k.
Shida n kwamba vijana hatutaki habari za uvuvi.
[emoji28][emoji28]Mkuu una umri gani?
Mbona umeanzisha group alafu umetukimbia?
Nimeona ujumbe ila nmeshindwa kukujibu kwa sababu umefunga PM yako mkuuMkuu nakufata PM. tafadhari!
Sawa mkuu ngoja nikarekebisheNimeona ujumbe ila nmeshindwa kukujibu kwa sababu umefunga PM yako mkuu
Yani jamaa utoto mwingi sana[emoji28][emoji28]
Umeshasahau tulisha tokomeza dengue na huyo ndio mbu wa dengue ngoja aende tu
Nitumie sampo ya vijora unavyohitajiNahiataji kupata vijora..vinapatukana
Niko hewani mkuu,jana nilipata emergency thus why sikuwa hewani kwa masaa kadhaa ila nimerudi unaweza kuja kuagiza utakachoMkuu una umri gani?
Mbona umeanzisha group alafu umetukimbia?
Mkuu unayumba,hivi mtu kutokuwa hewani kwa masaa 12 kwa emergency fulani ndio utoto?Yani jamaa utoto mwingi sana
Vijara vya batiki kutoka mombasa mkuuNitumie sampo ya vijora unavyohitaji
Mkuu PM yako ina ujumbe wangu. Naomba maelekezoNimeona ujumbe ila nmeshindwa kukujibu kwa sababu umefunga PM yako mkuu