Kutengeneza milioni 3 ndani ya mwezi mmoja

Kutengeneza milioni 3 ndani ya mwezi mmoja

stivii

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
222
Reaction score
143
Wakuu naamini umu kuna manguli wa utafutaji.

Nina shida na million 3 baada ya mwezi mmoja ili nifanyie uwekezaji fulani.

Kwa sasa nna laki tano nataka izae million 3 ndani ya mwezi mmoja kwa kuwa sikopesheki inabidi nipambane mwenyewe.

Nisaidieni uzoefu mbinu gani naweza tumia ya halali ili nizalishe million 3?

Nipe mawazo yenye uhalisia nitafanyia kazi.
 
Ngj nami niketi nisubiri wakuu wenye ideas......


NB: KAMA HUNA WAZO NAMBIE NKUPE KITI TUSUBIRI
JamiiForums-140954641.jpg
 
Kwenye makaratasi zipo ideas lukuki..., Kiuhalisia inategemea mwenyewe..., Ukiwa a good salesperson unaweza ukafanya mengi tofauti na mwingine asiye na talent hio...

Kwenye kupata kuna kukosa; kuna uwezekano hio plus 500k ikawa minus; in short time; Mimi nikiweza kuzalisha hio haina maana na wewe utaweza (too many variables)
 
Salute kiongozi, kama atajitoa uhakika atakushukuru sana.
Amka asubuhi nenda machinjioni nunua nyama za mafungu njoo mtaani kwako tengeneza supu safi uza kuanzia hiyo asubuhi hadi jioni kwa bei rahisi.

Baada ya miezi 3 au 4 njoo unishukuru.
 
Back
Top Bottom