Kutokana na uchochezi unaotolewa na Ridhiwani katika mitandao ya kijamii(k.m. Facebook), ni sahihi kwa vyombo vya dola kutochukuwa hatua za kumuhoji? Je ni sahihi kwa Ridhiwani kutumia nafasi ya baba yake katika kujadili masuala ya jamii na kutoa maelekezo? Je katiba yetu inasemaje kuhusu nafasi ya familia ya Rais katika masula ya nchi (Serikali)?
​Hawa wanafamilia wa JK kama tutawalazia damu watatufanya kama watumishi wao wa ndani!Nimemuona kule fb nikampa makavu kama igondu na amtume tu
​Anazungumza kama sehemu ya serikali na kama kiongozi wa CCM!alizungumza kama.1.mtoto wa rais.2.mwana ccm.3.mwananchi wa kawaida.tujadili haya pia
Kutokana na uchochezi unaotolewa na Ridhiwani katika mitandao ya kijamii(k.m. Facebook), ni sahihi kwa vyombo vya dola kutochukuwa hatua za kumuhoji? Je ni sahihi kwa Ridhiwani kutumia nafasi ya baba yake katika kujadili masuala ya jamii na kutoa maelekezo? Je katiba yetu inasemaje kuhusu nafasi ya familia ya Rais katika masula ya nchi (Serikali)?
Hivi mipaka ya Tume ya Maadili ya viongozi wa umma inaishia kwa mawaziri tu? Kama ni hivyo basi tume ya Warioba inapaswa ipanue wigo mpaka kwa Marais wastaafu katika katiba mpya.Kwa nini hawajifunzi kwa first family wa nchi nyingine duniani? Umaskini wao ndiyo umewafanya waishi wanavyoishi kama waze wa mujinim midili chafu kibao!! Ngona hii nchi ichukuliwe na mzalendo, yaani Azimio la Arusha litarejea na nationalisation ya mali zetu zote!!
Wananchi wengi walitoa maoni kuwa kipengele kiwepo cha kumuweka hatiani rais na familia yake kama walitumia madaraka kufanya uhalifu au kujinufaisha!! Sasa sijaelewa kama watakiweka. Ila kilisisitizwa na wananchi wengi sana.Hivi mipaka ya Tume ya Maadili ya viongozi wa umma inaishia kwa mawaziri tu? Kama ni hivyo basi tume ya Warioba inapaswa ipanue wigo mpaka kwa Marais wastaafu katika katiba mpya.
Mmbwa wa mfalme nae ni mfalme pia
hii yote ni kupoteza ukweli tu, CDM ndio wahusika wa hii kitu mbaya na wanataka kupoteza watu na hii gia ya riz1.
Tz ya leo inatisha!