Hakuna athari yoyote unapata Mimi Nina mwaka wa pili na miezi kadhaa na Nina furaha sana kuliko mwanzo wakati naduvuana hovyo hovyo
Kwanza inaongeza kujiamini na kujithamini na kuwa na standards zako, yaani sahivi kila mwanamke namuona wa kawaida na mwanamke yeyote lazima afike viwango vyangu ndo niwe nawe kikubwa katika hilo awe na akili na mentality inayokaribiana au kufanana na Mimi nikikosa wa hivyo bora nife nimedinda kuliko kuchafua dushe yangu kwa wanawake wasio na ak
Nifah umelike hapa unataka kutunyima nini..??
Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona Mahala kumeanikwa madhara anayoweza kupata mwanaume endapo hajafanya mapenzi /ngono kwa mda mrefu na kama yapo ningependa tuelekezane katka hili ni hayo nawasilisha hoja mezani โ๏ธ
Lakini kwanini hutaki kufanya mapenzi au mirija yako ya uzazi imeziba mkuu. Nenda Mloganzila wakaizibue.Maana Mimi ninafanya mazoezi ya Kawaida sana lkn Hali inanikuta sasa je swali ndio liko apo
๐๐๐๐Nasimamisha vilivyo kabisaaaa ila ndio naitaji kujipa time kwanza ila kabla ya yote naitaji kufahamu athari kwanzaLakini kwanini hutaki kufanya mapenzi au mirija yako ya uzazi imeziba mkuu. Nenda Mloganzila wakaizibue.
Duh๐๐๐kumbe hili nalo ni athari moja wapomiongoni mwa madhara ni pamoja na, unaweza kuanguka dhambini kwa fedheha ya kubaka kizembe sana aise ๐
unaweza baka kuku ukapata aibu maisha yako yote hutoamini ๐
sijabahatika kuona Mahala kumeanikwa madhara anayoweza kupata mwanaume endapo hajafanya mapenzi /ngono kwa mda mrefu
Mtapungukiwa nguvu za kiumeTwede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona Mahala kumeanikwa madhara anayoweza kupata mwanaume endapo hajafanya mapenzi /ngono kwa mda mrefu na kama yapo ningependa tuelekezane katka hili ni hayo nawasilisha hoja mezani โ๏ธ
Lakini kuna mtu kasema amesoma makala tofauti tofauti, nilidhani zimeandikwa huko au ni hadi uliwe?Nisipokula au npokula chakula mwingine atajuaje kushiba au kutoshiba kwangu
Kivipi ntaweza pungukiwa ikiwa na mazoezi naendelea kufanya ๐Mtapungukiwa nguvu za kiume
Mwaka wa 5 haujuii kwani kwenye VPN na telegram huuoni๐hakuna athari yoyote, unakaribia mwaka wa 5 huu uchi wa KE siujui
ukiwa busy , wanaozini unabaki kuwashangaa
PS:Nanyetuka
Naomba elimu kuhusu hilo mkuuathari zipo chache ila faida ni nyingi
Mwaka wa 5 haujuii kwani kwenye VPN na telegram huuoni๐
napenda part ya foreplay, wakianza kunjunjana nafungaMwaka wa 5 haujuii kwani kwenye VPN na telegram huuoni๐
Tena hili jukwaa limejaa aina hii ya watu wanaopenda kuchimba migodi ila nadhani km huchimbi mgodi kwa muda mrefu unakaribisha tezi dumehakuna athari yoyote, unakaribia mwaka wa 5 huu uchi wa KE siujui
ukiwa busy , wanaozini unabaki kuwashangaa
PS:Nanyetuka
sasa unakuta uko timamu kiafya kila idara imekamilika vichocheo vya mwili viko moto na huna mchuchu, huna miadi na yeyote na huko chini tayari kumeshapata moto network iko 7G kakuku kanakatiza hapo kanafukuzwa na jogoo ๐Duh๐๐๐kumbe hili nalo ni athari moja wapo
Tena hili jukwaa limejaa aina hii ya watu wanapenda kuchimba migodi ila nadhani km huchimbi mgodi kwa muda mrefu anakaribisha tezi dume
Mambo mengine n kujiendekeza tu yani ubake kuku badala ya kumchinja uhonge upate utelezi? Wanaobaka wanyama sio wazima kiakilimiongoni mwa madhara ni pamoja na, unaweza kuanguka dhambini kwa fedheha ya kubaka kizembe sana aise ๐
unaweza baka kuku ukapata aibu maisha yako yote hutoamini ๐
Mkuu una uhakika kama bado uko ligi kuu au TFF washafanya yao?hakuna athari yoyote, unakaribia mwaka wa 5 huu uchi wa KE siujui
ukiwa busy , wanaozini unabaki kuwashangaa
PS:Nanyetuka
bado niko ligi kuu, kwanini mzee ?Mkuu una uhakika kama bado uko ligi kuu au TFF washafanya yao?