KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Hakuna athari yoyote unapata Mimi Nina mwaka wa pili na miezi kadhaa na Nina furaha sana kuliko mwanzo wakati naduvuana hovyo hovyo
Kwanza inaongeza kujiamini na kujithamini na kuwa na standards zako, yaani sahivi kila mwanamke namuona wa kawaida na mwanamke yeyote lazima afike viwango vyangu ndo niwe nawe kikubwa katika hilo awe na akili na mentality inayokaribiana au kufanana na Mimi nikikosa wa hivyo bora nife nimedinda kuliko kuchafua dushe yangu kwa wanawake wasio na ak
Nifah umelike hapa unataka kutunyima nini..??