Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna athari zipi kwa mwanaume?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Asante
 
Nilipiga chini kubanjuana na ke maana ukiwaendekeza unapata hasara ya akili kuliko pesa,sasa naishi ktk furaha kubwa Sana Yani mungu ukupe uvumilivu huohuo
 
Ila wakaka wa humu ni wanafiki jmn uzi ukija wakuzichapa kila mtu anasema anachakata leo naona kila mtu ana miaka hajafanya๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.
Ndio uhalisia hata mimi nna miaka sijui utelezi upoje, kila nikitaka kudondoka dhambini nikakumbuka nitazidi kumtesa Yesu msalabani kwa dhambi zangu naabort misheni.
 
Nilipiga chini kubanjuana na ke maana ukiwaendekeza unapata hasara ya akili kuliko pesa,sasa naishi ktk furaha kubwa Sana Yani mungu ukupe uvumilivu huohuo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kwer kabisa sasa mfano ulikua na mke mkaachana inawezekana kukaa pasipo kufanya mapenzi tn kwa mda mrefu ?
 
Karibia mwaka sasa, na sioni shida yeyote
Dogo tutajie mbinu zako za ushindi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Binafsi naona kama mtu yuko busy na shughuli zake, hajaoa/hajaolewa ni rahisi sana kukaa mda mrefu bila kukutana kimwili.

Sema nini, siku ya kwanza baada ya hiyo "sabbatical" chances za kuharibu mechi ni 80%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ