Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu ni mbaya Sana Kwa Sisi wanaume

Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu ni mbaya Sana Kwa Sisi wanaume

Hunipati vipi mzee, we tulia na bwana kama kulomba umelomba sana! hakuna jipya huku nje zaidi ya hapo unatafuta ukimwi kwa nguvu!
😁😁😁 Dah ukimwi , na kweli mie nimefata mausia yako madam .. Ukimwi ni hatari sanaaa unatesa
 
Hii ni Kweli kabisa ukizingua wee ni boya kabisa.

Kwa Sisi wanaume tusipokula mzigo Kwa Muda mrefu akili inakuwa kama imeganda hivi.Unaweza kuidanganya akili kwamba huwazi Tena kuhusu papuchi lakini pale unapoenda kuoga alafu Mzee wa kazi ukiupaka sabuni ndio utajua Kula mzigo ni Tiba Kwasisi wanaume.


Kula mzigo akili ikae sawa brother.
Hebu soma andiko lako vizuri ili ujuonee ulichoandika ni kitu gani
 
Back
Top Bottom