AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
Hahahaha engineer wa nyoko TenaEngineer wa nyoko🤣
Hiyu kijana anataka kunigeuza chambo!Hahahaha engineer wa nyoko Tena
Hiyo ni basic needs mkuu usiitoe hapoIla Wabongo wamegeuza Sex km Basic Needs, kumbe sio.
Kuna maisha nje ya Kuzagamuana, Lol
😂😂😂😂 Dah maana yake anadindisha kabisaJamaa akiona sabuni ni kama ameona uchi wa mwanamke
semen retention vs energy transmutation and no fap Poor Brain dronedrakeKuna faida kubwa uki avoid sex, na ku channel hiyo energy kwenda kwenye kitu kingine.
Usipopaka sabuni je?Hii ni Kweli kabisa ukizingua wee ni boya kabisa.
Kwa Sisi wanaume tusipokula mzigo Kwa Muda mrefu akili inakuwa kama imeganda hivi.Unaweza kuidanganya akili kwamba huwazi Tena kuhusu papuchi lakini pale unapoenda kuoga alafu Mzee wa kazi ukiupaka sabuni ndio utajua Kula mzigo ni Tiba Kwasisi wanaume.
Kula mzigo akili ikae sawa brother.
Kwann uwe chamboHiyu kijana anataka kunigeuza chambo!
Basic needs kwako mkuu ni nini?Ila Wabongo wamegeuza Sex km Basic Needs, kumbe sio.
Kuna maisha nje ya Kuzagamuana, Lol
Ndio mashangaa na mimiKwann uwe chambo
Maajabu! Uko chupa ya ngapi mkuu?