Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu ni mbaya Sana Kwa Sisi wanaume

Hunipati vipi mzee, we tulia na bwana kama kulomba umelomba sana! hakuna jipya huku nje zaidi ya hapo unatafuta ukimwi kwa nguvu!
😁😁😁 Dah ukimwi , na kweli mie nimefata mausia yako madam .. Ukimwi ni hatari sanaaa unatesa
 
hapo ndo wanaume mnafeli ndo maana mnakufa kizembe kwa sababu ya tamaa za kimwili.
 
Hebu soma andiko lako vizuri ili ujuonee ulichoandika ni kitu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…