Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu ni mbaya Sana Kwa Sisi wanaume

Wapiga nyeto wanavyopenda halalisha kazi ya mikono yao bhn😂😂😂😂😂
 
Ukiandika uzi kuwa na ujasiri Baada ya kufikiria mara tatu (3D view)

Kwa maana

1.kuna wadogo zangu

2.kuna wa rika langu

3.kuna wa kubwa zangu

We Mpuuzii unaandika ulichokiandika kwa kusukumwa na nyege kama kila mtu ni malaya kama wewe shenz
 
Usipopaka sabuni je?
 
Ila Wabongo wamegeuza Sex km Basic Needs, kumbe sio.
Kuna maisha nje ya Kuzagamuana, Lol
Basic needs kwako mkuu ni nini?

Unaelewa kila mtu hapa duniani ana vipaumbele vyake?

Kama mtu huru kafanya kungonoka ndiyo basics zake kakosea wapi hapo?
 
Kujiendekeza tu, watu tupo Hadi tunamaliza mwaka ...tunaendelea na shughuri zetu za Kila siku...wewe Bado unawaza hayo😟
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…