Waziri mkuu sasa ana KAZI Gani?Sasa Yaani Mkurugenzi kasimamishwa kazu kisa makonda huku tunakoelekea DUH
Ila hii Sio haki hata kidogo..
Mwene ZIIII leo kawa Mwenyezi Dah sasa mkurugenz kakosea Wapi?
Rabbon
View attachment 2879116
Kiekiekiekiekie, ati? Upo kwenye inner circle? Wewe jobless unajuwa hata inner circle ni nini?Wewe stupid hunijui, pumbaf mkubwa wewe, hooligan, wewe uko nje ya CCM unajua nini wewe, nyoko kabisa..!!
Infact, mimi naijua CCM kuliko ukoo wako and CCM it has a lot of brainy people, tena ukome kama ulivyokoma titi la mama yako if you think CCM kuna wajinga, mjinga ni wewe, scented mouth and shithole kabisa..
Makonda kapewa maelekezo na Mwenyekiti wa CCM, tena maelekezo 10… sbb hujui kitu funga your scented mouth..!! Nasty..!! Unafikiri mie wa kuongea kama wewe mitandaoni ukiwa hujui kitu, i am in the inner circle of CCM, pumbaf wewe.
View: https://youtu.be/QcP7wtRKXfI?si=oQx_mBmDATzZ4zx3
Matumbo yaoHiyo vita ya ndani ya chama, inamfaidisha nani?
Aina ya siasa za KM zimepitwa na wakati. Na asilimia kubwa siasa zile zinafichaficha udhaifu mwingi kiutendaji.KM ni mkubwa Kwa Mwenezi hivyo warudi vikaoni na Kutoka na mwelekeo wa pamoja.
Mbali na hapo, ni kuharibiana tu.
Wananchi wenyewe hawana habariSiwezi kuwaacha, nawasaidia wananchi kujua mbovu na mbichi.
Chama kimoja njia na uelekeo unaokinzana!!
Eti Nini?Halafu wote watu wa ndumba na ngayi
Tatizo hakuna wa kuizamisha hiyo merikebu. Sio CDM wala ACT/CUF wenye ubavu huyo ndio maana hiyo merikebu inayoingiza maji inadunda miaka nenda rudiCCM ni merikebu inayoingiza maji ndani...ni suala la muda tu.
Kawaulize kwa nini hawataki kuiondoa Tume ya uchaguzi iliyo chini ya Mwenyekieti wa CCM ambaye naye ni mgombea na kuwa Tume huru.Tatizo hakuna wa kuizamisha hiyo merikebu. Sio CDM wala ACT/CUF wenye ubavu huyo ndio maana hiyo merikebu inayoingiza maji inadunda miaka nenda rudi
Amna mtu mwenye hofu na hao misukule inayotsfuta Kiki. Umeona cdm wakiaandaman kwa sabbu ya mfuko au bei au nauli .Yote ni hofu dhidi ya Chadema kuelekea 2025
Kuhojiwa si kukaripia, lazima wajibu maswali ya wananchi!Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Tangu kuanza Kwa ziara,Kuhojiwa si kukaripia, lazima wajibu maswali ya wananchi!
Kwenye maelezo yako hakuna sehemu umethibitisha MAKONDA anawakaripia watumishi wa umma,Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni [emoji120]
Muhimu wanaisimamia ilani, kuongozana au kutoongozana sioni tijaNa makucha yake.
Kinana na Nape walikuwa wakiongozana.
Saizi Kila mtu na notebook yake kivyake.
Fukuzia mbali ya nje waropokaji😂😂Mmoja imebidi akae pembeni, maana mafahari wawili kukaa zizi Moja isingewezekana!!
Amesema kuwa hajajifunza chochote, wembe ni Ule Ule!!Fukuzia mbali ya nje waropokaji😂😂