Pre GE2025 Kutofautiana kauli na mtizamo wa Katibu Mkuu na Mwenezi CCM kunaashiria nini kuelekea Uchaguzi?

Pre GE2025 Kutofautiana kauli na mtizamo wa Katibu Mkuu na Mwenezi CCM kunaashiria nini kuelekea Uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe stupid hunijui, pumbaf mkubwa wewe, hooligan, wewe uko nje ya CCM unajua nini wewe, nyoko kabisa..!!

Infact, mimi naijua CCM kuliko ukoo wako and CCM it has a lot of brainy people, tena ukome kama ulivyokoma titi la mama yako if you think CCM kuna wajinga, mjinga ni wewe, scented mouth and shithole kabisa..

Makonda kapewa maelekezo na Mwenyekiti wa CCM, tena maelekezo 10… sbb hujui kitu funga your scented mouth..!! Nasty..!! Unafikiri mie wa kuongea kama wewe mitandaoni ukiwa hujui kitu, i am in the inner circle of CCM, pumbaf wewe.

View: https://youtu.be/QcP7wtRKXfI?si=oQx_mBmDATzZ4zx3

Kiekiekiekiekie, ati? Upo kwenye inner circle? Wewe jobless unajuwa hata inner circle ni nini?

Labda ina circle ya nchonyoni kwako, fuseeeeki.
 
KM ni mkubwa Kwa Mwenezi hivyo warudi vikaoni na Kutoka na mwelekeo wa pamoja.

Mbali na hapo, ni kuharibiana tu.
Aina ya siasa za KM zimepitwa na wakati. Na asilimia kubwa siasa zile zinafichaficha udhaifu mwingi kiutendaji.
Mwanasiasa ni muhimu uwe 'Dyanamic', ufanye siasa kulingana na wakati uliopo.
Siasa DAB ndio zinazohitajika kwasasa ndani ya Taifa letu.
 
Mwenezi anataka cheap popularity. Kwanini kamati ya maadili isishughulike na mtumishi wa Umma ambaye hawajabiki badala ya wanasiasa kuingilia mambo wakati mwingine wasiyo yaelewa?
 
CCM ni merikebu inayoingiza maji ndani...ni suala la muda tu.
 
CCM ni merikebu inayoingiza maji ndani...ni suala la muda tu.
Tatizo hakuna wa kuizamisha hiyo merikebu. Sio CDM wala ACT/CUF wenye ubavu huyo ndio maana hiyo merikebu inayoingiza maji inadunda miaka nenda rudi
 
Tatizo hakuna wa kuizamisha hiyo merikebu. Sio CDM wala ACT/CUF wenye ubavu huyo ndio maana hiyo merikebu inayoingiza maji inadunda miaka nenda rudi
Kawaulize kwa nini hawataki kuiondoa Tume ya uchaguzi iliyo chini ya Mwenyekieti wa CCM ambaye naye ni mgombea na kuwa Tume huru.
 
Salaam, Shalom!!

Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.

KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.

Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?

Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?

Karibuni 🙏
Kuhojiwa si kukaripia, lazima wajibu maswali ya wananchi!
 
Salaam, Shalom!!

Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.

KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.

Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?

Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?

Karibuni [emoji120]
Kwenye maelezo yako hakuna sehemu umethibitisha MAKONDA anawakaripia watumishi wa umma,
 
Mmoja imebidi akae pembeni, maana mafahari wawili kukaa zizi Moja isingewezekana!!
 
Back
Top Bottom