The Next MP

Member
Joined
Nov 15, 2023
Posts
71
Reaction score
119
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
 
Yuko Dubai anakula nchi, rumors say so, not confirmed news!
 
Anza wewe mkuu
 
Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
Naunga mkono hoja

P
 
Hii nchi ukiwa na ushawishi na uko serikalini, ugonjwa wako ni siri

Labda ufe ndio watu watajua...

Tuliona kwa VP na sasa kwa Makonda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…