Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
Tanzania tuna waandika habari na si waandishi wa habari.kuna jiwe la rubi limenadiwa uarabuni kwa dola 120m sawa na b288 lkn hakuna chombo cha habari hata kimoja kilichoandika bali ni Askofu Bandukile ndoa kaibua na kuposti facebook
 
Kazi iendelee
 
Wananunuliwa kunyamaza!
 
Kaka media za siku izi, Asubuhi taarifa za BBC, matukio/Nipashe/Majira, then magazeti, michezo, kuanzia saa 3-7 uchambuzi wa mpira, mipasho. Saa 7-10 miziki na uchambuzi wa miziki. Sana 10-12 uchambuzi wa soka, Saa 12-3 habari na michezo. 3-5 mitishamba na nguvu za kiume. 5-12 miziki na salamu za usiku. Cycle ya vipindi vya redio siku izi. Maybe kwa kuwa ziko dhooful khali siku izi ndio maana zimejikita huko
 
Tanzania tuna waandika habari na si waandishi wa habari.kuna jiwe la rubi limenadiwa uarabuni kwa dola 120m sawa na b288 lkn hakuna chombo cha habari hata kimoja kilichoandika bali ni Askofu Bandukile ndoa kaibua na kuposti facebook
Hututendei haki, wandika habari wapo, waandishi wa habari wapo, na wahandisi wa habari pia wapo ambao ni watunga habari.

Kuhusu hiyo Ruby, karibu mitaa hii Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

Na hii Rubi kutoka Tanzania yavunja rekodi Dubai hivyo usiseme hatujaandika, sometimes mnatuonea sana.

P
 
Makonda uko uliko kuanzia leo jua wewe ni nyota na kama ulikuwa una test basi mzee umefanikiwa. Tanzania hii kwa wakuu wa mikoa yote hata wengine majina hatuwajui na wala hatutaki kujuwa wapo wapi wanafanya nini wazima au wamekufa hatuna habari ila watu wanataka kujuwa Makonda yupo wapi, kuanzia leo nimeamini wewe baada ya Rais ni wewe mzee nyota yako kali.
 
Media zimefungwa midomo na serikali! Bado zikikumbuka Jinamizi la hayati JPM hazina ujasiri wa kuandika habari kama hizo.
 
Kama hakuna hivyo vyombo anzisha wewe hiyo ndo fursa. Hii nchi kila mtu analalamika kwanini mwingine hajafanya as if wao hawahusiki to fill the void.

Viongozi hawaruhusiwi kuchukua likizo? Wakiwa likizo inabidi watoe updates kila siku? Sheria gani inawataka wafanye hivyo?
 
Back
Top Bottom