kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 2,000
- 3,352
So wa Arusha ndio hujamuona muda ganiHuyu wa Mwanza nimemuona last week tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So wa Arusha ndio hujamuona muda ganiHuyu wa Mwanza nimemuona last week tu
Nimepanda treni ya SGR kuna mapungufu mengi niliayaona yanahusu wahudumu ,(customer care), niliyafikisha kwa wahusika wakuu papo hapo maana wengine hatuna kaba siwezi kuyaweka hapa maana siyo mahali pake hii ni biashara yetu mapungufu yetu tutayatatua siyo kwa kejeriTunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.
Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.
Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
Huyo wa Lindi hakuna tetesi juu yake zilizoenea. Huyu wa Arusha kuna tetesi mbaya zimezagaa kitaa juu yake, na ndiyo sababu hasa ya kumuulizia.Mwenye jukumu Kama leke mkoa wa Lindi mbona humuulizii
TetesiHuyo wa Lindi hakuna tetesi juu yake zilizoenea. Huyu wa Arusha kuna tetesi mbaya zimezagaa kitaa juu yake, na ndiyo sababu hasa ya kumuulizia.
Kumtenganisha mkuu wa mkoa wa Arusha ambaye hayupo ofisi na Makonda ambaye pia hayupo ofisini haiwezekaniTetesi
Kumbe ni tetesi zinazomhusu yeye binafsi na sio mkuu wa mkoa
Ukishakuwa kiongozi wa uma hakuna cha mambo binafsi.Mambo ya mtu binafsi tuyaache kwake mtu mwenyewe. Tuchape kazi tuendelee na mengine
Zaidi ya makanjanja. Hata chawa wakasomeWanahabari wenyewe ndio kina mwijaku, kitenge, baba levo, zembwela unategemea nini?
OkayUkishakuwa kiongozi wa uma hakuna cha mambo binafsi.
Mambo ya mtu binafsi tuyaache kwake mtu mwenyewe. Tuchape kazi tuendelee na mengi
Weka ili yatatuliwe, vinginevyo tutabaki na ngedere na bundi wakati Kadogosa alisema umeme ukikatika Chuma kinaendelea na mafuta, kweli wananchi tunazarauliwa na the so called viongoziNimepanda treni ya SGR kuna mapungufu mengi niliayaona yanahusu wahudumu ,(customer care), niliyafikisha kwa wahusika wakuu papo hapo maana wengine hatuna kaba siwezi kuyaweka hapa maana siyo mahali pake hii ni biashara yetu mapungufu yetu tutayatatua siyo kwa kejeri
Mimi ni muelimishaji elimu ya ujasiriamali sitaweka hapa hata hivyo kutokana na hizo changamoto nilizo ziona kumbe kuna fursa pia ya kibisharaWeka ili yatatuliwe, vinginevyo tutabaki na ngedere na bundi wakati Kadogosa alisema umeme ukikatika Chuma kinaendelea na mafuta, kweli wananchi tunazarauliwa na the so called viongozi