Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi
Yuko Dubai anakula nchi, rumors say so, not confirmed news!
Hii inawezekana ikawa kweli kwani hivi karibuni alionekana akiwa na waarabu kule Loliondo!
Kwavile ni mpendwa “Bata” lazima aliomba mualiko!
 
Ila kwa ninavyomfahamu baba K na umbelembele wa camera, kuna jambo zito analipitia. Mungu ampe wepesi katika hilo.
 
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
Waandi wapo bize na simba na yanga watafukunyua kila kitu kuhusu simba na yanga yaani ila sio huko kwenye hard news..wamepaterekeza wamemwachia miladi ayo.
 
Tatizo ni system, ufanye investigative journalism kwenye nchi za dunia ya tatu utakosana tu na watawala, je utabaki salama? Nani anataka kurisk maisha yake sababu ya kizazi hiki kisichostahili kupiganiwa?
 
Wengine yupo Dubai anakula raha
Wengine yupo South kwa ajili ya IVF
Wengine likizo......
 
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
Unataka wachunguze hata maisha binafsi ya watu?
 
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
Hizo investigative media zinaiweka wapi hiyo taarifa zikiipata? Kama hakuna investigative media hizo Rumours na speculations zinatoka wapi?
 
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
Watu wanafanya utafiti wa kisiasa nyie endekeeleni kupiga kelele, tafuteni kitu cha maana kujiingizia kipato mwenzenu kasafiri kwaajili ya biashara zake ili aingize kipato cha kutosha
 
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
If so what does it imply? I would suggest that circumstances don't allow.
 
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
alikuwa anatafuta attention, sasa ameona watu hawana habari naye, wameendelea na maisha mengine.
 
Makomda anayetajwa hapa ni mkuu wa mkoa wa arusha.
Anhaa sikuwa nimefahamu Kama hapa anaulizia mkuu wa mkoa. Ila mkuu wa mkuu wa mkoa wa mwanza nae hajasikika muda na sijaona uzi ukimuulizia humu
 
Back
Top Bottom