Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi
Katika historia wanasema ulikuwepo ubishi Mt. Meru,na harakati za uhuru wa Tanganyika zilianze pale.
Je,historia itajirudia,rais Samia anaweza kukwamishwa na morani?
 
Najaribu kukuelewa mkuu, (Nyerere's son)
Ni wale Wamasai. Wanasema walikuwa wanajitayarisha kupiga kura Serikali za Mitaa.
Lakini wamekuta vituo vyao vya kupigia kura wameandikishwa wakapigie kura Tanga.
Kwa hiyo wanauliza,baada ya Serikali kusema tutakwenda Tanga kwa hiari,imeamua kutupeleka kwa nguvu?
 
Inabidi sasa wanasheria wetu makini waende kule kuwaelimisha Wamasai kwamba ardhi yote Tanganyika ni mali ya Rais.
 
Yaani Wamasai ardhi yao imeuzwa bado wanaulizana,,"Kulikoni?"
Inanikumbusha tulivyokuwa shule ya msingi. Watoto wanacheza. Tupo darasani,wakati uapokaa kwenye kiti,mtu anakiondoa,halafu you go all the way to the floor,unakaa kwenye sakafu. Halafu watu wote darasani wanacheka," Ha ha ha"
Sasa Wamasai majina yao yameandikishwa katika vituo vya kupiga kura ambavyo viko Tanga.
Kuhusu mchongo unakuja wewe. The cry of the people has reached Heaven.
What is happening must be investigated.
 
Sijaelewa post au hoja ya mtoa mada ila tu Makonda hana uwezo wa kuliingilia swala la wamasai kuhamishwa
 
03 Agosti 2024

TLS CHINI YA UONGOZI WA MWABUKUSI yaanza na MAKONDA yahoji YUKO WAPI msije mkatuambia amenyakuliwa na GARI


View: https://m.youtube.com/watch?v=dc6n0cAfFa8

Viongozi wa umma taarifa zao kufichwa kwa kutoonekana hadharani ... TLS kutoa tamko asema Boniface Mwabukusi ..

Viongozi walioajiriwa na wananchi huku walilipwa misharahara kutokana na kodi za wananchi hawawezi kujificha kutaka faragha ... wananchi lazima tujuwe wapo wapi.

Chief Odema akakazia hoja John Pombe Magufuli alipotoweka kuonekana walihoji .... pia Dr. Philip Mpango wananchi walihoji na kupewa majibu yasiyoridhisha ... je TLS inasemaje kuhusu hili? Kwako Mwabukusi kama rais, Chief Odema amtupia swali Mwabukusi

Boniface Mwabukusi anasema wao kama TLS watalitolea tamko baada ya baraza kukaa ....
 
Hoja yake ni nzuri but kwataasisi kama TLS inatakiwa wadeal na mambo mazito zaidi na ukizingatia ndio kwanza ni press yake ya kwanza tangu achaguliwe watu wanataka kusikia mambo ya msingi zaidi sio kama hilo aliloleta ni jambo ambalo hata ashura maji marefu wa buza anaweza kuliongea
 
Back
Top Bottom