The Next MP
Member
- Nov 15, 2023
- 71
- 119
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.
Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.
Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.