lord atkin JF-Expert Member Joined Sep 30, 2018 Posts 257 Reaction score 922 Oct 15, 2026 #181 Dr Matola PhD said: Wewe ni Wakili? Tafadhali usichafuwe taaluma za watu. Hakuna Wakili mwenye mwandiko kama wako kama kanya bata. Heshimu taaluma za watu usiwapake matope. Moja ya sifa ya Wanasheria ni kujuwa kuandika vizuri. Click to expand... πππ mkuu kwahiyo hata comments za jf unataka niandike kama naandaa written submission?
Dr Matola PhD said: Wewe ni Wakili? Tafadhali usichafuwe taaluma za watu. Hakuna Wakili mwenye mwandiko kama wako kama kanya bata. Heshimu taaluma za watu usiwapake matope. Moja ya sifa ya Wanasheria ni kujuwa kuandika vizuri. Click to expand... πππ mkuu kwahiyo hata comments za jf unataka niandike kama naandaa written submission?
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Oct 15, 2026 #182 lord atkin said: πππ mkuu kwahiyo hata comments za jf unataka niandike kama naandaa written submission? Click to expand... Kitu cha kwanza hajajadili hoja, amemshambulia mtoa hoja. Hiyo ni ad hominem logical fallacy. Angekosoa hoja tuone makosa ya hoja pengine angeweza kushawishi kwamba ana hoja.
lord atkin said: πππ mkuu kwahiyo hata comments za jf unataka niandike kama naandaa written submission? Click to expand... Kitu cha kwanza hajajadili hoja, amemshambulia mtoa hoja. Hiyo ni ad hominem logical fallacy. Angekosoa hoja tuone makosa ya hoja pengine angeweza kushawishi kwamba ana hoja.
Utak JF-Expert Member Joined Jul 1, 2025 Posts 1,330 Reaction score 5,468 Oct 15, 2026 #183 Miguel Felix Gallardo said: Ila kwa majanga uliyo nayo kaza watakufilisi, msala mdogo huo upo ndani ya uwezo wako ongea lugha ya kimataifa(NUMBERSπ°). #EVERYONE HAS A PRICE,MAKE SURE UNALIKUMBUKA HILI KILA WAKATI!! Click to expand... π
Miguel Felix Gallardo said: Ila kwa majanga uliyo nayo kaza watakufilisi, msala mdogo huo upo ndani ya uwezo wako ongea lugha ya kimataifa(NUMBERSπ°). #EVERYONE HAS A PRICE,MAKE SURE UNALIKUMBUKA HILI KILA WAKATI!! Click to expand... π