Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

Mnaingiaga kwemye ndoa mkiwa hamjakomaa akili
Imagine Mungu kamuokowa kutoka kwenye jinamizi la ndoa bado kakimbilia kuowa trna, kwamba hawezi kuishi bila mwanamke, huu ni ujinga na utegemezi mkubwa kwenye maisha, kuna huduma nyingi tu za kulipia kwa sasa kuanzia house keeping mpaka hiyo mbunye.

Mtu wenye akili sasa hivi focus kwenye pesa ndio mkombozi wako na si vinginevyo
 
pole sana mkuu
 
Asante mkuu.Umetoa maelekezo mazuri japo kwa lugha ya ukali. Mimi siku submit vyeti viwili vya ndoa ila walifatilia wenyewe RITA wakakuta kuna usajili wa ndoa nyingine. Kosa langu kubwa nikutofanya michakato ya talaka kwenye ndoa ya kwanza.
 
Wewe naye umechanganyikiwa ndio maana mimi napendekeza wanandoa kwenye kupima afya zao ssiyo ukimwi tu, afya ya akili ndio checkup muhimu kuliko vyote, Wabongo wengi akili haziko sawa wake kwa waume.
Hiyo afya ya akili unapimaje ngosha
 
Hakuongea nao vyema huyu ndugu
Huenda kuongea nao vyema ndo kulikoondoa uwezekano wa kupelekwa mahakamani badala yake ikabaki kurudisha tu gharama zilizotumika.
 
Asante mkuu.Umetoa maelekezo mazuri japo kwa lugha ya ukali. Mimi siku submit vyeti viwili vya ndoa ila walifatilia wenyewe RITA wakakuta kuna usajili wa ndoa nyingine. Kosa langu kubwa nikutofanya michakato ya talaka kwenye ndoa ya kwanza.
Mke wa kwanza ulimchukulia kadi ya NHIF au hukumchukulia?
Kuna mkataba wa NHIF kuhudimia wake wawili?
 
Toka utengane nae mke was kwanza ni muda gani mkuu
Kama ni above 5 yrs kuna what we call presumption of death
 
Huenda kuongea nao vyema ndo kulikoondoa uwezekano wa kupelekwa mahakamani badala yake ikabaki kurudisha tu gharama zilizotumika.
Ok kama ofis za umma siku hizi zimenyooka namna hio
 
Toka utengane nae mke was kwanza ni muda gani mkuu
Kama ni above 5 yrs kuna what we call presumption of death
Wewe ni bichwa kwelikweli, ukishamchukulia kadi mwanamke ni mpaka urevoke ndio aingie mwingine.

Mimi watoto wangu walivyovuka miaka 21 wameondolewa kwenye mfumo wa NHIF wakaanza kutumia bima za University.
 
Reactions: Nus
Mke wa kwanza hanufaiki na bima
Ok kama hajawahi kunufaika na bima linazungumzika, tafuta appointment ya kumuona Mchengerwa ofisini, sijui upo mkoa gani naweza kukusaidia kupata appointment huo ndio msaada wangu nenda ofisini kwake mueleze yote wanasiasa simu moja tu jambo linaisha.
 
Tayari umeshakosea! Nachoshangaa mpaka unawasilisha cheti cha pili cha mke mpya Bima hawakugundua mapema na kukwambia tatizo?
 
Tayari umeshakosea! Nachoshangaa mpaka unawasilisha cheti cha pili cha mke mpya Bima hawakugundua mapema na kukwambia tatizo?
Hawakugundua na cheti kilitaja wazi kuwa ni ndoa ya wake wengi. Hata wale walionifungisha ndoa sijui walipitiwaje wakati hata kwenye tangazo la ndoa niliandika nindoa ya wake wengi
 
Kwani mke wa ndoa ya 1 hukumtoa kwenye unufaika wa Bima? Nijuavyo mie kuna kuhakiki taarifa pale unapomuongeza mnufaika, Bima hawakuhakiki hili kabla ya kuruhusu kumuongeza mke wa 2 kabla mambo kuwa mengi hivyo?
 
Nipo Kil
Nipo Kilimanjaro mkuu.Naomba unisaidie tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…