Kutoka AI: Freeman Mbowe ulichokifanya leo hakiakisi utu, mshikamano wala hekima

Hakuna anaelaumu ila inauma mtu tuliyekua tunamwamini kwenye chama leo anatugeuka na kula sahani Moja na maadui zetu. Ametumia rasilimali nyingi za chama kumbe Hana faida alikuwa "inside job"
Poleni sana nadhani this time mtaacha kuwekeza kwa mtu mmoja

Hivi ndivyo binadamu alivyo anaweza kubadilika muda wowote
 
Mtu mlishamtuhumu kwamba amelamba asali ya Abdul mwana wa Afidhi lakini bado mnahangaika naye. Kwanini mna kisebu sebu na kiroho papo nyie mazee?
 
Huyu dalali tulisha mtoa na genge lake,umemuona kijana wake Yericko jana baada ya mahakama kusema TAL nakesi ya kujibu,kasema amefuraha aendelee kubaki gerezani na amemuita msenge,na kusema alimjeruhi sana,imagine uchaguzi uliwajeruhi vibaya,huyu kibaka atakimbia nchi.
 
Poleni sana nadhani this time mtaacha kuwekeza kwa mtu mmoja

Hivi ndivyo binadamu alivyo anaweza kubadilika muda wowote
Daughter mtazamo wako una makengeza mengi.. ! Wakuaminiwa ni wengi na bado wapo..!
 
Mmh basi yeriko hana akili kabisa
 
Utetezi wa kijinga,kwani asingeenda mradi usingezinduliwa?
 
Mbowe alisema akishindwa atapumzika active politics na ataenda kuendeleza au kusimamia biashara zake.
Kama mwananchi mwenye ushawishi, serikali inamualika kwenye matukio (hajipeleki mwenyewe), yeye huangalia fursa za biashara na serikali hutumia tukio hilo kuchonganisha upinzani.
Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba viongozi wanasiasa walio madarakani au wastaafu hupenda kuonekana na au kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…