Kutoka AI: Freeman Mbowe ulichokifanya leo hakiakisi utu, mshikamano wala hekima

Amewakomesha.Nyie wakati mnamdharirisha mlikuwa na utu na hekima?

Pili wakati Lisu anamdhihaki Rais aliwahi kuwa na hekima na busara kwamba SSH alimpa pole kwenye madhila yake ya ugonjwa,alimpa pesa akiwa Belgium na alimhakikishia ushirikiano wa Kisiasa na usalama hapa Tanzania baada ya kukimbia Nchi lakini alimlipa nini?

Safi sana Mbowe,usioneshe busara Wala hekima Kwa mtu asiye nazo na mpumbavu
 

Nimeona hii pia Mbowe ameonyesha chuki ya wazi kwa Lissu.

Wajinga wachache wanasema eti alitukanwa sana swali linakuja katika ule uchaguzi mgombea wa kambi gani hakutukanwa?

Lissu aliitwa mropokaji, mbelgiji na kambi ya Mbowe wakiongozwa na akina Yericko na Ntobi.

Mbowe kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu kutoenda mahakamani halafu anaenda kukaa meza moja na muuaji Samuya ni jambo lisilo la kawaida.
 

Mbowe ni mchaga usisahau Hilo anafanya biashara
 
Halafu kuna wapuuzi wanamtetea
 


Chawa nani amekomeshwa hapo?

Mtu akikujua vizuri rangi zako si ndio atajua kundi gani akuweke na akabiliane vipi na wewe?

Kwa mfano wewe JF nzima tunakujua ni chawa na zile ID zako nyingine hata ukija ukitaka kujibadilisha kuna vijitabia unavionyesha tunakujua huyu ni wewe ChawaVariable.
 
Halafu kuna wapuuzi wanamtetea

Tangu mwaka jana nilipoanza kuona CCM wanampigia kampeni Mbowe kwenye ule uchaguzi ndio nilipoingia shaka kwa kiasi kikubwa.

Hadi press ya Mbowe eti kufuatwa na akina Yericko kumuomba agombee kwake ilirushwa TBC si ilitakiwa itupe red flag .
 
Kwani Ana tofauti gani na wasira? Wapumbavu huwa wanazeeka pia jamani huwezi kuwa na busara kwa sababu ya umri bali uwekezaji kwenye maarifa kwa maisha yako yote! Uwekezaji huu unafanyika siku hizi? Kiasi kidogo sana! Hebu fikiria mwijaku akiwa mzee ndio umri utakuja kumfanya awe tofauti? Hapana ndio maana wazungu wanafanya vetting na kumjua mtu tangu utoto wake kabla ya kumpa sehemu nyeti za kuongoza watu pamoja kuwa na check and balances! Kama ulibaka ukiwa kijana hata uzeeni utabaka tu tatizo ni kupata hiyo chance na kuwa na nguvu na nafasi
 
Ninyi watu wa CHADEMA, hivi miaka yote tuliyo waambiwa Mbowe ni kikwazo hamkuelewa!
Si huyu Mbowe alimpongeza JK kuanzisha mchakato wa katiba bila kujua mitego yake. Si huyu FAM alikwenda Mwanza kutaka maridhiano na JPM. Si huyu FAM alisema ''mama ana nia njema''. Si huyu FAM alitoka gerezani na kwenda kunywa jusi Ikulu. Si huyu FAM alianzisha maridhiano yaliyofeli mwaka mzima.
Si huyu FAM aliingiza CHADEMA chaguzi akijua hakuna kitu1 ! Muacheni bwana, kipi kipya leo??

Hii kwa lugha Buckingham palace wanasema ''blessing in disguise'' yaani jambo baya lenye matokeo mazuri mwishoni. Huu si usaliti, Mungu anafungua akili zenu mfahamu vitendawili msivyoweza kuvitegua

Sasa mnajua kwanini CCM wapo mstari wa Mbele kumshambulia Heche! Mnajua kwanini kuna kesi ya kujibu.

Mwacheni FAM, usaliti gani mnaozungumzia? mwacheni ashiriki shughuli na wenzake!
'' birds of a feather flock together''

JokaKuu
 
'' birds of a feather flock together'',🤔🙇🏿‍♂
 
Bamia huwa inaharibikia ukubwani.
 
 
Fundi Mchundo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…