Kutoka AI: Freeman Mbowe ulichokifanya leo hakiakisi utu, mshikamano wala hekima

Ila tuwe wakweli, kufukuzwa uongozi kwenye kampuni ya familia inauma.... Tumuelewa mstaafu 😂😂
 
Chadema na taifa zitafaidika vipi Mbowe akihudhuria kesi ya Lissu? Sana sana itakuwa distraction. Ni heri asihudhurie.

Amandla...
 
Wakati Mbowe yuko rumande, Makamu Mwenyekiti wake alimtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakapiga mpaka picha ya pamoja. Hakuna mtu aliyemuita msaliti kwa kufanya hivyo wakati Mwenyekiti wake amebambikiwa kesi ya ugaidi! Leo mnamtaka Mwenyekiti aliyepita wa Chadema asusie dhifa za taifa kwa sababu Mwenyekiti wake ana kesi ya uhaini? Hypocrisy of the highest order.

Amandla...
 

Hapo ndo ujue kwamba tusipokua makini serikali inaweza kumilikiwa na kikundi cha wahuni majambazi na kutumia vyombo vya ulizi na usalama kwa manufaa yao hii ni hatari sana
 
Kaenda kama mpatanishi. Ile shughuli ni kivuli tu ili wananchi huku tupotee maboya. Najaribu tu kuwaza kwa sauti
 
Mbowe Kwa Sasa HAYUPO pamoja nanyi na huo ndo ukweli.ni maamuzi yake
 
Kuna tetetesi kuwa yeye na wenje walipata mgao sijui hizo stori kama ni za kweli au. Kama ni kweli anachofanya ni sahihi anaekulipa ndo bosi wako.mtumikie kafiri ili upate mradi wako.
 

Chadema hawana kamati ya maadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…