Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Ccm inafanya haya kumlinda Magu mwisho wa siku hata yeye hataweza kuilinda ccm ambayo ataitumia kubadili katiba asitoke madarakani najua itakapofikia hapo ccm watagundua janja ya huyo jiwe.. atakae paza sauti atafutiwa uanachama kwa sheria ile ile waliyoipitisha magu ataendelea kutawala huku sisi tukiharibu nchi yetu
 
Nakumbuka miaka ile Rais anaambiwa patachimbika. Sasa huyu wa sasa hata kumjaribu haiwezekani maana hajaribiwi.. Wapinzani wameufyata wote. Wamebaki wanabwekea mitandaoni Na bado mkizidi chokochoko zenu mtaletewa legalized crime.. Ndio mtakapojua kuheshimu mamlaka..
 
ikiwa miaka 59 mumeshidwa kuleta hata endeleo moja mutaweza kuleta maendeleo leo nenda huwachi mzee porojo zako. tena tu ukawadanganye ccm wenzako
 
That was anticipated. They can do anything they damn wish. No problem ikifika wakati wao kufarakana, hizi sheria zitatumika kuwanyoosha.
 
Acha UJUHA kama una ufinyu wa akili kaa kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Na acha UZWAZWA wa kuandika kwa herufi kubwa.

KWA BAHATI MBAYA HUMU HAKUNA SHERIA ZA MATUMIZI YA HERUFI! NINA MASHAKA NA AKILI ULIYONAYO! KWA BAHATI NJEMA HATA NAWE PIA KUMBE NI JUHA KWA SABABU UMEFANYA KILEKILE AMBACHO UNAYEMWITA JUHA AMEFANYA!
 
Mbunge wa Arusha Mjini ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Kijamii wa Twitter ambapo alikuwa akiongelea Bundi aliyeonekana jana kwenye ukimbi wa Bunge wakati wa kikao cha Bunge

Kutokana na kuwepo kwa hali hiyo Job Nduga, Spika wa Bunge aliwatoa hofu wabunge na wageni kuwa, katika mazingira ya kawaida ndege aina ya Bundi kwa wenyeji wa Kabila la Wagogo akitokea mchana hana tatizo isipokuwa Bundi wa usiku.

Hata hivyo, hakuna aliyejua huyo bundi ameingiaje ndani ya ukumbi wa Bunge hasa kutokana na usalama na usafi ndani ya ukumbi huo.

 
Na kiukweli sasa hivi mnajadili bundi. Mna akili sana nyie ufipa.
 
Kama mswaada umepita sasa ni wakati vyama vya upinzani kwa CCM kujiunga ili vishinde uchaguzi alafu CCM ione ilichokipitisha kama itashindikana basi itabidi wapinzani wa CCM waendane na hali halisi kama sisi raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…