Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Hayo ni mawazo mgando - Simbachawene ninayemfahamu iwapo amesema hayo ni kutukana Mwl Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete kwa kuwa mara zote tumejinasibu kwamba nchi imepata maendeleo - atueleze masuala ya udhaifu wa kiuongozi yaliyosababisha tusiendelee.

Kama anaipenda Uchina
(i). Je anajiweka nafasi ipi baada ya kutumbuliwa kwa kutowajibika kwenye wizara ya madini (Kwamba akiwa Waziri madini yalitoroshwa sababu ya CDM, NCCR, ACT, CUF nk??)

(ii) Kwamba wakati tunasaini mikataba ya madini nje ya nchi enzi za akina Dkt. Karamagi - vyama vya siasa ndivyo vilipendekeza hivyo??

(iii). Bunge lililotunga na kupitisha sheria ya kukubali vyama vingi vya siasa lilikuwa na wapinzani wangapi na liliongozwa na Serikali ya Chama gani cha siasa??

Uhuru wa kimokrasia na kisiasa ni maendeleo pia
 
Nikiandika na kusema humu Jiwe kabaki tu sasa hivi kujaza vyoo vya magogoni hamna anachofanya na hatufai kabisa kuwa rais.

Yani sisi raia tumebaki kuvizibua hivyo vyoo
chadema inajaza vyoo ufipa hawana lolote.
 
Kwendraaaaa uko hata Neno ulijui walahi
Na utakufa kama Abeli walahi


Sent using Jamii Forums mobile app
Point yangu haikuwa kwenye kujua ama kutokujua neno mkuu maana sio mimi nilie liandika, namaanisha ninachosema mimi kwamba, kati ya kitu kitakacho leta mvurugano mkubwa zaid kweny nchi ni pale serikali itakapo taka kuzika kwa nguvu upinzani. Kama una kichwa cha kuelewa utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ya vyama vingi ni kututofautisha lugha kama ilivyokuwa kwenye ujenzi wa mnara wa Babeli.Natamani sana mfumo wa chama kimoja kwasababu ndio mfumo imara na madhubuti.
 
Simbachawene ni mbunge mbumbumbu kilaza juha mkubwa atakuwa hana vyeti kama Bashite kwa upumbavu ule nina uhakika atakuwa anavuta Bangi.
 
Kazi ya vyama vingi ni kututofautisha lugha kama ilivyokuwa kwenye ujenzi wa mnara wa Babeli.Natamani sana mfumo wa chama kimoja kwasababu ndio mfumo imara na madhubuti.

Mfumo wa chama kimoja uwepo kwenye Nchi inayojielewa chama chenye viongozi wenye weledi watapata maendeleo, lakini mfumo wa chama kimoja chini ya chama cha ccm kisichojielewa na viongozi wake ni wapiga dili wamekula mpaka trilion 1.5 kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini huko porini vijijini ni vigumu CCM ilete maendeleo kwani 97% ya wana CCM ni kizazi cha wezi
 
Mkuu mimi nimekaaa sana viijiji vya huko kna vilaza usipimie....huko kwa lusinde nilikaaga kijiji kimoja kinaitwa mlowa barabarani enzi hzo barabara bado kujengwa ile ya iringa kupitia dodoma
Watu hko wao ni kula mlenda na ugali
Maji yenyewe ya kisima utafikiri makamasi
Mazingira magumu lakini bado watu walikuwa wanashabikia ccm nakumbuka wakati huo mb wao alikuwa malecela
Haya Ukienda mkurabi mambo yale yale
Nakumbuka niliendaga mlowa kwa project ya kulima ufuta na nikapataga maeneo fulani yako ndani ya mlowa wanapaita madimo....kiukweli mm ndy mtu wa kwanza kulima kule nilifataga ngombe mkurabi wale wa kulimia mashamba nkawaleta mpaka mlowa....mijitu pale wakawa wa nani cheka ah mtoto wa dar sikuwezi hko basi nkasafisha pori nkaanda shamba kiukweli
Sikufanikiwa kilimo cha ufuta pale madimo kutokana na Hali ya hewa mvua kugoma etc
Watu wa sehemu hzo akili zao kama lusinde tu.....ila tu kuna jamaa mmja alihamiaga pale anaitwa Alan alikuwa mfanyabiashara alinisifu sana ....Alan sahv ni Diwani pale mlowa na kuna siku siku alinambia kijana lile pori ulijaribu lima ufuta sahv watu wote ndy wanalima hko.......
Kwa kifupi watu wa sehemu za hko CCM watazidi kuwaburuta tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mtaji wa CCM ni wale watu wajinga mbumbumbu vilaza hata vigazeti vya kifala fala vya cyprian Musiba husomwa na watu wa aina hiyo hiyo
 
Mgogo( samahani lakini) Dodoma haijawahi kutoa mbunge asiye mchumia tumbo.

Wengi ni watu wa ajabu wana Tabia za ajabu sana, mfano cheki Tabia mbovu za Spika Ndungai
 
Mh.Simbachawene pole sana mkuu pamoja na Tanzania kuwa na Vyama vingi lakini Tanzania inaongozwa na CCM toka tupate uhuru, Simbachawene hebu fafanua vyama vingi vimechelewesha maendeleo gani? Juhudi zote hizi anazofanya mh.Rais ni kuwaogopa Wapinzani na wala sio matakwa ya CCM.Maendeleo ya nchi hii yamedhohofishwa na CCM na viongozi wake mpaka leo kwenye Majukwaa Katibu Mkuu wa CCM mr.Bashiru anakili kuwa CCM kuna majizi hata Mh.Rais tukuulize Mafisadi wote walio mahakamani na chama gani kama sio CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kibaya zaidi wanataka kuwazika kwa Risasi huku mzikaji mkuu Daud Arbaty Bashite akijinufaisha humo humo kwa pesa nyingi alizipewa kwa ajili ya kudhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla
 
Nyumba ikipata na hitilafu unaifanyaje mkuu?


MAGUFULI4LIFE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…