mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
Hayo ni mawazo mgando - Simbachawene ninayemfahamu iwapo amesema hayo ni kutukana Mwl Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete kwa kuwa mara zote tumejinasibu kwamba nchi imepata maendeleo - atueleze masuala ya udhaifu wa kiuongozi yaliyosababisha tusiendelee.
Kama anaipenda Uchina
(i). Je anajiweka nafasi ipi baada ya kutumbuliwa kwa kutowajibika kwenye wizara ya madini (Kwamba akiwa Waziri madini yalitoroshwa sababu ya CDM, NCCR, ACT, CUF nk??)
(ii) Kwamba wakati tunasaini mikataba ya madini nje ya nchi enzi za akina Dkt. Karamagi - vyama vya siasa ndivyo vilipendekeza hivyo??
(iii). Bunge lililotunga na kupitisha sheria ya kukubali vyama vingi vya siasa lilikuwa na wapinzani wangapi na liliongozwa na Serikali ya Chama gani cha siasa??
Uhuru wa kimokrasia na kisiasa ni maendeleo pia