lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Nchi hii hakuna wapinzani,ndiyo maana ccm wanafanya na kuamua wanavyotaka. Upinzani wa nchi hii ni wa maneno tu,siyo vitendo.
Niwakumbushe kwa kumbukumbu niliyonayo kidogo. Mange alihamasisha maandamano na watu walihamasika.
Ule ndiyo ulikuwa wakati wa upinzani Ku pick up mission na kuzifanya kwa vitendo. Mkumbuke watu walikuwa hawalali wakimfutilia yule Dada
WALIHAMASIKA SANA. DALILI za kuhofu kwa serikali tuliziona, askari Polisi na makomando walipigishwa kwata barabarani mchana kweupe,midege ya kivita ilirushwa kila wiki. Vifaru vilizunguka mjini Pande zote.
ILIKUWA HOFU YA SERIKALI. Mange alitahadhalisha alisema, namnukuu, WATANZANIA MSIPOFANYA MAANDAMANO (anayekumbuka tarehe na mwezi anisaidie) HAMTAFANIKIWA KUMUONDOA JIWE MADARAKANI,KUKO TUENDAKO ATAFANYA ANAVYOTAKA.
Naweza sema kwa kipindi kile yule Dada alitumwa na Mungu kutuonyesha yajayo mbele yetu, ALIKUWA NABII KWA MUDA. Hawa kina zito,mbowe, na vyama vingine walikuwa kimya!!!
Sasa wamekuwa walipiga kelele na kulaumu tu nwanadhani italeta mabadiriko?. WANGEKAMATA PALE KWA MANGE Leo hii tusingesikia UPUMBAVU wa kina simbachawena,Lusinde na ndugai ( wagogo hawa) nk.
TOKA ENZI ZA MUSA, HATA SASA HAKUNA UKOMBOZI PASIPO DAMU. HAMUWEZI TENA KUMDHIBITI JIWE
Sent using Jamii Forums mobile app