Yake.Kwani ile Bar ni yake? si pale relini?
Jimboni kwake kuna njaa watu wanakuja mirenda renda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yake.Kwani ile Bar ni yake? si pale relini?
Hata yeye hakuamini kama angeweza kuwa Waziri. Toka mpiga debe wa daladala pale Dodoma hadi kuwa Waziri!Inashangaza pale unaposoma CV ya huyu jamaa na kugundua alifika mpaka Nafasi ya Uwaziri hapo ndo unaona kuwa system inazingua, Yani Nani aliemfanyia Vetting mpaka alimpendekeza kuwa Waziri
Huyu ni Katibu Wa wamiliki Wa baaWanasema alikuwa waziri. Hii nchi upumbavu umetamalaki
Kasomea hapo kinondoni wanaita open university.Halafu Unaambiwa Msomi
Ndiyo Maana Sector Ya Madini Waliwakalisha
Wasomi
Simbachawene you are a stupid guyKwan mfumo wa chama kimoja haukuwepo...nn matokeo yake.
Vipi kuhusu nchi za Ulaya na Marekani ambazo zipo kwenye mfumo wa vyama vingi hazina maendeleo.
Kuna tatizo na system ye2,mambo sio mazuri hata kidogo,walianza kuminya Uhuru wa habari..mitandao ya kijamii ikawaumbua,wakaja na sheria ovu ya takwimu,wafadhili wakawaumbua sasa huu mswada wa sheria ya vyama vya siasa. Ukitazama kiundani hakuna hata moja lenye faida chanja kwa taifa.. yote yana lengo la kuhalalisha uovu wa ccm kwa Watanzania. Mungu alivyomkubwa watashindwa tena. Hakuna mwana ccm mwenye nia njema ya kulisogeza taifa mbele..wote wanalengo moja tu. Kuandaa mazingira ya kuchumia matumbo yao chini ya miamvuli ya sheria ovu.
Mhh kumbe! alafu nasikia alianzia maisha ya siasa vingunguti pale na ana nyumba pale ambayo alianzia harakati zake kisiasaYake.
Jimboni kwake kuna njaa watu wanakuja mirenda renda
ha ha ha... nilijua kuwa kuna baadhi watawahusisha jamaa zetu wa Chadema humu. Let's stay out of kushutumu vyama na tujadili lililopo
Haya mambo yapo kitambo sana Umesahau kuna kipindi Camera ilinasa picha ya mtu akimwaga unga unga mjengoni?
Bila shaka! Kama Admin akiniruhusu kwa maandishi na kuahidi kunilinda humu naweza kufanya hivyo. Ingawa habari hii wakiipata wahusika wanaweza kuanza kutafuta mvujisha siri na huenda ikamuweka pabaya Mamsapu iwapo atagundulika baadhi yao ni mabesti zakeTunaomba majina ya hao wabunge 17 na hao maafisa wakubwa wa chama.
ili iwej sasaTunaomba majina ya hao wabunge 17 na hao maafisa wakubwa wa chama.