Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Inashangaza pale unaposoma CV ya huyu jamaa na kugundua alifika mpaka Nafasi ya Uwaziri hapo ndo unaona kuwa system inazingua, Yani Nani aliemfanyia Vetting mpaka alimpendekeza kuwa Waziri
Hata yeye hakuamini kama angeweza kuwa Waziri. Toka mpiga debe wa daladala pale Dodoma hadi kuwa Waziri!
 
Hii nchi inatia hasira sana na ujinga wa watanzania unawapa kiburi watawala kufanya wanavyotaka siamini na sitaamini kamwe kama Magufuli na genge lake wataleta maendeleo kwenye nchi hii kuwafikia hao wachina wanaotolewa mfano kila kukicha I hate CCM,I hate magufuli na genge lake la ukandamizaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan mfumo wa chama kimoja haukuwepo...nn matokeo yake.
Vipi kuhusu nchi za Ulaya na Marekani ambazo zipo kwenye mfumo wa vyama vingi hazina maendeleo.
Kuna tatizo na system ye2,mambo sio mazuri hata kidogo,walianza kuminya Uhuru wa habari..mitandao ya kijamii ikawaumbua,wakaja na sheria ovu ya takwimu,wafadhili wakawaumbua sasa huu mswada wa sheria ya vyama vya siasa. Ukitazama kiundani hakuna hata moja lenye faida chanja kwa taifa.. yote yana lengo la kuhalalisha uovu wa ccm kwa Watanzania. Mungu alivyomkubwa watashindwa tena. Hakuna mwana ccm mwenye nia njema ya kulisogeza taifa mbele..wote wanalengo moja tu. Kuandaa mazingira ya kuchumia matumbo yao chini ya miamvuli ya sheria ovu.
Simbachawene you are a stupid guy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Idodomya kunani?
Mbona wabunge wao wengi hawajitambui?. Full kukubali kutwikwa Mizigo ya Mavi wanuke wao?.

Huyu mwenye tuhuma za rushwa ya madini anataka vyama vingi vifutwe- hasemi kama ni vyote, tuunde kipya. Lazima katumwa tu.

Nkamia anataka miaka saba- katumwa

Mwingine anambana CAG, anataka kumvua TAL ubunge , hataki kumpa matibabu, ni mbabe mbabeeeee.

Yule wa Mtera full kupayuka na ukatuni, Wa Bahi- kashifa na kesi za rushwa.

Watu wa Dodoma mjitazame.Mnaleta vituko bungeni
 
Tunaomba majina ya hao wabunge 17 na hao maafisa wakubwa wa chama.
Bila shaka! Kama Admin akiniruhusu kwa maandishi na kuahidi kunilinda humu naweza kufanya hivyo. Ingawa habari hii wakiipata wahusika wanaweza kuanza kutafuta mvujisha siri na huenda ikamuweka pabaya Mamsapu iwapo atagundulika baadhi yao ni mabesti zake
 
Back
Top Bottom