Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Nchi hii hakuna wapinzani,ndiyo maana ccm wanafanya na kuamua wanavyotaka. Upinzani wa nchi hii ni wa maneno tu,siyo vitendo.

Niwakumbushe kwa kumbukumbu niliyonayo kidogo. Mange alihamasisha maandamano na watu walihamasika.

Ule ndiyo ulikuwa wakati wa upinzani Ku pick up mission na kuzifanya kwa vitendo. Mkumbuke watu walikuwa hawalali wakimfutilia yule Dada

WALIHAMASIKA SANA. DALILI za kuhofu kwa serikali tuliziona, askari Polisi na makomando walipigishwa kwata barabarani mchana kweupe,midege ya kivita ilirushwa kila wiki. Vifaru vilizunguka mjini Pande zote.

ILIKUWA HOFU YA SERIKALI. Mange alitahadhalisha alisema, namnukuu, WATANZANIA MSIPOFANYA MAANDAMANO (anayekumbuka tarehe na mwezi anisaidie) HAMTAFANIKIWA KUMUONDOA JIWE MADARAKANI,KUKO TUENDAKO ATAFANYA ANAVYOTAKA.

Naweza sema kwa kipindi kile yule Dada alitumwa na Mungu kutuonyesha yajayo mbele yetu, ALIKUWA NABII KWA MUDA. Hawa kina zito,mbowe, na vyama vingine walikuwa kimya!!!

Sasa wamekuwa walipiga kelele na kulaumu tu nwanadhani italeta mabadiriko?. WANGEKAMATA PALE KWA MANGE Leo hii tusingesikia UPUMBAVU wa kina simbachawena,Lusinde na ndugai ( wagogo hawa) nk.

TOKA ENZI ZA MUSA, HATA SASA HAKUNA UKOMBOZI PASIPO DAMU. HAMUWEZI TENA KUMDHIBITI JIWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitisho chama tawala ni kawaida na viongozi mkuu wa vitsho ni jiwe mwenyewe ,umesahau vitsho vya kuwafukuza wabunge kumi na saba wa mikoa ya kusini sakata la korosho ,kugongwa mashangazi wa waziri mkuu.
 
Tunasikia na kuona clip za bunge kifungu hiki kimepita kile kimefutwa hiki kimerekebishwa lakini baadhi hatujui ni nini serikali ilichokubali kufuta na nini kimebakia,

Zitto Kabwe japo wewe ni mbunge umekuwa ukifanya kazi za media zetu dhaifu ambazo aidha zinaogopa au hazina weledi wa kuchambua masuala ya kiufundi ya kitaifa.

Tunaomba tuhabarishe
 
Nikiandika na kusema humu Jiwe kabaki tu sasa hivi kujaza vyoo vya magogoni hamna anachofanya na hatufai kabisa kuwa rais.

Yani sisi raia tumebaki kuvizibua hivyo vyoo
Mjomba kunawakati unakuwa na hasira lakini jaribu kuwasilisha hoja katika lugha iliyovaa nguo kidogo.
 
Elimu ilianza kuanguka toka enzi hizo, hawa decission makers wakisoma!! Tafakari mitazamo yao na maamuzi yao juu ya maslahi ya taifa utajua tu..
 
Waache kutupwaga hao jamaa,mwaka 2020 mbunge wangu walishiriki kinyang'anyiro simpi kura ya NG'O!
Nalog off
 
Inamfaa
IMG-20190131-WA0011.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mkitunga uongo muswada ndo ushapita hivyo TULIENI DAWA IWAINGIE.
NO FURTHER DISCUSSION OPEN.
Ila we jamaa kuna wakati ata kidogo ujaribu kuwaza future ya nchi na kizazi chako kijacho. Usiwe ni mtu wa kutukuza tu kisa unalipwa buku 7.

Siku wajukuu zako wakifahamu wewe ni mmoja ya waliolipeleka hili taifa shimoni unadhani watajisikiaje.

Sent from my Hisense F31 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kupata uhalisia wa umasikini uliokithiri basi tembelea majimbo ya Dodoma likiwemo la huyu kondakta wa zamani wa mabasi yaliyoitwa Urafiki(sina hakika kama bado yapo)Cha ajabu badala ya wabunge hawa akiwemo yeye na wenzake kina Ndugai,Lusinde,Nkamia na wengine kutumia muda wao kuelimisha wananchi kuhusu mbinu mbalimbali za kuondokana na umasikini uliokithiri,wao utawasikia ndo wachangiaji wakuu kwenye masuala wanayoyaita yenye maslahi mapana kwa taifa!Huyu anasema vyaqma vya upinzani vifutwe,Lusinde ukimsiliza naye ni kutukana tu,Nkamia anahangaika na hoja ya kumwongezea muda Rais akijua ikipita na yeye ubunge wake ataendelea nao yaani ukitafakari unabaki kusikitika tu.Wakati mwingine huwa nawaza pengine Mungu afanye kama alivyofanya wakati wa Nuhu wote tufe wabakie watoto ambao hata hawajui fikra za sasa labda wao wakikua watafikiri tofauti!Ngachoka
 
Back
Top Bottom